Picha: Kinachoendelea Furahisha mkutano wa CHADEMA kwa wana Mwanza

Picha: Kinachoendelea Furahisha mkutano wa CHADEMA kwa wana Mwanza

Picha: Kinachoendelea FURAHISHA mkutano wa CHADEMA kwa Wana MWANZA

Karibu,kwa updates zaidi!

Mwanza ndio kumeanza kupambazuka kwa mbali, watu wakifanya pirika zao mapema,ili kuwahi mkutano huu wa kihistoria!
Mungu Ibariki CHADEMA
Mungu wabariki viongozi wake Wote
Mungu wabariki wananchi wote
Mungu ubariki mkutano huu wa kihistoria
Aaaaameeen[emoji173]
 
Mungu hawezi kubariki chama cha watu wanaopigia debe umwisenge. Huko ni kumtania Mungu. Umwisenge ni mambo ya shetani, mngemwomba huyo ingekuwa afadhali mara mia.
Pole, kama wewe mwenyewe ulilipitisha hilo burungutu lako mbele ya wajanja kunashida gani wakilitafuna siku moja? Umbile lako limekuponza.
 
Hayati Magufuli mpenda maendeleo mnamtukana,mnasifia walamba asali wanao tuuzia kilo ya mchele sh 3800..

Ngojeni muone aibu mtakayo ipataleo.nyinyi wahuni.
Asali ililambwa na akina Makonda, Sabaya and the likes hivyo usijitoe ufahamu.
 
Picha: Kinachoendelea FURAHISHA mkutano wa CHADEMA kwa Wana MWANZA

Karibu,kwa updates zaidi!

Mwanza ndio kumeanza kupambazuka kwa mbali, watu wakifanya pirika zao mapema,ili kuwahi mkutano huu wa kihistoria!
Weka picha na wewe
 
Mnamtukana sana Magufuli hii ni dharau kubwa kwa wasukuma. Na wasukuma watawapa majibu yenu kwa vitendo.

Kwa nini Chadema msingeanzia mkutano kwenu uchagani Moshi?
 
Mnamtukana sana Magufuli hii ni dharau kubwa kwa wasukuma. Na wasukuma watawapa majibu yenu kwa vitendo.

Kwa nini Chadema msingeanzia mkutano kwenu uchagani Moshi?
Acha ujinga, nani kakuambia Mwanza ni ya wasukuma? Mwanza ni ya Watanzania na uovu wa magu haukuwa wa wasukuma bali wake mwenyewe hivyo usituchanganye

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Mnamtukana sana Magufuli hii ni dharau kubwa kwa wasukuma. Na wasukuma watawapa majibu yenu kwa vitendo.

Kwa nini Chadema msingeanzia mkutano kwenu uchagani Moshi?
Hivi mnamdanganya Msukuma gani kwamba Magufuli alikuwa Msukuma? Msukuma gani hakuguswa na makali ya mashambulizi dhidi ya mifugo yake?
Hii dhana ya Ukabila mnayoendeleza mkiwatumia wasukuma haiwasaidii lolote maana Wasukuma hawana muda nayo.
Sukuma Gang kalikuwa kakikundi kadogo sana kalikotumia jina la kabila hilo kutafuta uungwaji mkono huku wakijinufaisha binafsi. Waangalie waanzilishi wake, Gwajima, Makonda, Mnyeti, Mpina jinsi walivyojineemesha halafu linganisha na Walichopata hao wasukuma kama kabila.
Kuhubiri ukabila hakuwafanyi CCM muungwe mkono na Wasukuma maana hakuna popote mlipowahi kuwabeba wasukuma zaidi ya kuwwtumia kwa maslahi yenu na kisha kuwatupa. Wasukuma wangapi wamepoteza mamia kwa maelfu ya mifugo yao? Wangapi kanda ya ziwa wamechomewa nyavu na mitumbwi kwa maagizo ya Mpina akiwa waziri?
Unawazuga wasukuma gani wasiojua CCM ilivyowaheuka na kuwa mwiba kwao?
 
Hivi mnamdanganya Msukuma gani kwamba Magufuli alikuwa Msukuma?
Mkuu Bila bila , maadam JPM alijinasibu ni Msukuma, akajitambulisha ni Msukuma wa Chato, akatambulishwa ni Msukuma, akawa rais wa JMT kama Msukuma, hadi amefariki amekufa akijulikana JPM ni Msukuma, maadam sasa hatunaye, naomba naomba tuendelee kumtambua JPM kuwa ni Msukuma, hata kama kuna baadhi ya watu wanajua for sure ukweli wa asili halisi ya JPM
Mimi kama mwandishi wa habari wa IJ, kwanza niliuliza humu, https://www.jamiiforums.com/threads...-ni-msukuma-mhaya-au-muha-wa-kakonko.1373311/ kisha nikafanya IJ, nilipoupata ukweli halisi, nikarejea humu JF https://www.jamiiforums.com/threads...u-tutangulize-mbele-maslahi-ya-taifa.1307125/
Hivyo hili la Magufuli na Usukuma, tuliache!.
P
 
Back
Top Bottom