Picha: Kinachoendelea Furahisha mkutano wa CHADEMA kwa wana Mwanza

Picha: Kinachoendelea Furahisha mkutano wa CHADEMA kwa wana Mwanza

Picha: Kinachoendelea FURAHISHA mkutano wa CHADEMA kwa Wana MWANZA

Karibu,kwa updates zaidi!

Mwanza ndio kumeanza kupambazuka kwa mbali, watu wakifanya pirika zao mapema,ili kuwahi mkutano huu wa kihistoria!
Picha ipo wap
Au ndio mchecheto umekupanda🤣
 
Kwani hamuwezi kusema bila kumtaja Magu??

Kuna namna wengine walitumbuliwa na mavyeti feki wanachukizwa mno..

Pia wako wanaopenda Magu kindakindaki hawawezi kufurahishwa.

All in all chadema ni chama cha walamba asali,hakina mashiko.

Tunaitaji chama cha upinzani imara na chenye msimamo
 
Aisee naona wasukuma wanalalama mno kila post ninayochungulia eti wanatukanwa wasukuma bhana walijifanya nchi yao hii enzi ya zama za mawe jaman muwe na amani mambo ya ukabila ya nn tunajenga tanzania moja mkikosolewa kubalini na mjitathimini kwenye mapungufu mrekebishe mbona cc wa pwani atuna noma viongozi wa kanda yetu wanapokosea na kukoselewa nyie akina nani kwan wasukuma msiokosea mnaolalama kila kukicha
 
Mungu Ibariki CHADEMA
Mungu wabariki viongozi wake Wote
Mungu wabariki wananchi wote
Mungu ubariki mkutano huu wa kihistoria
Aaaaameeen[emoji173]
Hongera chief hangaya Kwa kuruhusu mikutano
 
Back
Top Bottom