bloggerboy
JF-Expert Member
- Nov 13, 2017
- 568
- 1,217
Mungu Ibariki CHADEMAPicha: Kinachoendelea FURAHISHA mkutano wa CHADEMA kwa Wana MWANZA
Karibu,kwa updates zaidi!
Mwanza ndio kumeanza kupambazuka kwa mbali, watu wakifanya pirika zao mapema,ili kuwahi mkutano huu wa kihistoria!
Hao walamba asali ni akina nani hao wanaofanya biashara ya kuuza mchele?Hayati Magufuli mpenda maendeleo mnamtukana,mnasifia walamba asali wanao tuuzia kilo ya mchele sh 3800..
Ngojeni muone aibu mtakayo ipataleo.nyinyi wahuni.
Mungu hawezi kubariki chama cha watu wanaopigia debe umwisenge. Huko ni kumtania Mungu. Umwisenge ni mambo ya shetani, mngemwomba huyo ingekuwa afadhali mara mia.Mungu Ibariki CHADEMA
Mungu wabariki viongozi wake Wote
Mungu wabariki wananchi wote
Mungu ubariki mkutano huu wa kihistoria
Aaaaameeen[emoji173]
Nenda kahiji kwanza pale Kwake alikolala ukimsikiza ukuje hapa.Hayati Magufuli mpenda maendeleo mnamtukana,mnasifia walamba asali wanao tuuzia kilo ya mchele sh 3800..
Ngojeni muone aibu mtakayo ipataleo.nyinyi wahuni.
Pole, kama wewe mwenyewe ulilipitisha hilo burungutu lako mbele ya wajanja kunashida gani wakilitafuna siku moja? Umbile lako limekuponza.Mungu hawezi kubariki chama cha watu wanaopigia debe umwisenge. Huko ni kumtania Mungu. Umwisenge ni mambo ya shetani, mngemwomba huyo ingekuwa afadhali mara mia.
Nakuhakikishia hakuna baraka za Mungu kwenye kupigia debe umwisenge.Pole, kama wewe mwenyewe ulilipitisha hilo burungutu lako mbele ya wajanja kunashida gani wakilitafuna siku moja? Umbile lako limekuponza.
Asali ililambwa na akina Makonda, Sabaya and the likes hivyo usijitoe ufahamu.Hayati Magufuli mpenda maendeleo mnamtukana,mnasifia walamba asali wanao tuuzia kilo ya mchele sh 3800..
Ngojeni muone aibu mtakayo ipataleo.nyinyi wahuni.
Weka picha na wewePicha: Kinachoendelea FURAHISHA mkutano wa CHADEMA kwa Wana MWANZA
Karibu,kwa updates zaidi!
Mwanza ndio kumeanza kupambazuka kwa mbali, watu wakifanya pirika zao mapema,ili kuwahi mkutano huu wa kihistoria!
Wale watoa huduma wa makoroboi usiku ndio watahudhuria[emoji16]
Juzi kahama mnasomba watu na malori tena kwa matangazo na watu hawakuja.
Mkuu acha kujitoa akiliMungu hawezi kubariki chama cha watu wanaopigia debe umwisenge. Huko ni kumtania Mungu. Umwisenge ni mambo ya shetani, mngemwomba huyo ingekuwa afadhali mara mia.
Acha ujinga, nani kakuambia Mwanza ni ya wasukuma? Mwanza ni ya Watanzania na uovu wa magu haukuwa wa wasukuma bali wake mwenyewe hivyo usituchanganyeMnamtukana sana Magufuli hii ni dharau kubwa kwa wasukuma. Na wasukuma watawapa majibu yenu kwa vitendo.
Kwa nini Chadema msingeanzia mkutano kwenu uchagani Moshi?
Hivi mnamdanganya Msukuma gani kwamba Magufuli alikuwa Msukuma? Msukuma gani hakuguswa na makali ya mashambulizi dhidi ya mifugo yake?Mnamtukana sana Magufuli hii ni dharau kubwa kwa wasukuma. Na wasukuma watawapa majibu yenu kwa vitendo.
Kwa nini Chadema msingeanzia mkutano kwenu uchagani Moshi?
Mkuu Bila bila , maadam JPM alijinasibu ni Msukuma, akajitambulisha ni Msukuma wa Chato, akatambulishwa ni Msukuma, akawa rais wa JMT kama Msukuma, hadi amefariki amekufa akijulikana JPM ni Msukuma, maadam sasa hatunaye, naomba naomba tuendelee kumtambua JPM kuwa ni Msukuma, hata kama kuna baadhi ya watu wanajua for sure ukweli wa asili halisi ya JPMHivi mnamdanganya Msukuma gani kwamba Magufuli alikuwa Msukuma?