Picha: Kinachoendelea Furahisha mkutano wa CHADEMA kwa wana Mwanza

Mnamtukana sana Magufuli hii ni dharau kubwa kwa wasukuma. Na wasukuma watawapa majibu yenu kwa vitendo.

Kwa nini Chadema msingeanzia mkutano kwenu uchagani Moshi?
Kwani Chadema ni chama cha mkoa?
 
Tukitoka hapo tunakwenda kubet halafu tunatafuta vijiwe tubishane sajili za simba na yanga.

My beautiful kantre.
 
Hayati Magufuli mpenda maendeleo mnamtukana,mnasifia walamba asali wanao tuuzia kilo ya mchele sh 3800..

Ngojeni muone aibu mtakayo ipataleo.nyinyi wahuni.

Magufuli alikuwa na shamba la mpunga? Jitihada zako za kuzuia wasukuma wasiende kwenye mkutano wa CDM zitazaa matunda?
 
Mnamtukana sana Magufuli hii ni dharau kubwa kwa wasukuma. Na wasukuma watawapa majibu yenu kwa vitendo.

Kwa nini Chadema msingeanzia mkutano kwenu uchagani Moshi?

Kwahiyo magufuli aliwaambia wasukuma ni mali yake, na mwanza hawaruhusiwi watu wengine kufika? CCM mtajitahidi kujificha kwa wasukuma lakini leo mtafurahia show.
 
Mkuu Bila bila , maadam JPM alijinasibu ni Msukuma, akajitambulisha ni Msukuma wa Chato, akatambulishwa ni Msukuma, akawa rais wa JMT kama Msukuma, hadi amefariki amekufa akijulikana JPM ni Msukuma, maadam sasa hatunaye...
Hii inanikumbusha yule mkenya smart aliyewahi kuiongoza FAT akijulikana mtanzania, mwisho wa siku ukweli ukafunguka.
 
Kwa hiyo Chadema ndio imekuja kuwasaidia wasukuma au?
 
Wanaambulia laana tu ya kushangilia kifo cha Magufuli.

Malipo ni hapa hapa duniani waliwatukana sana wana Mwanza walifikiri wamevuka mto
 
Acha ujinga, nani kakuambia Mwanza ni ya wasukuma? Mwanza ni ya Watanzania na uovu wa magu haukuwa wa wasukuma bali wake mwenyewe hivyo usituchanganye

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Na leo tena, endeleeni kumtukana Hayati. Msijikite kwenye hoja na solutions za kuwakwamua watanzania. Kwa aina ya genge lenu lilivyo, watanzania wanaona bora walamba asali waendelee kula kuliko kukabidhi nchi kwa hungry dogs. It may happen, ila sio kesho wala kesho kutwa.
 
Acha ujinga, nani kakuambia Mwanza ni ya wasukuma? Mwanza ni ya Watanzania na uovu wa magu haukuwa wa wasukuma bali wake mwenyewe hivyo usituchanganye

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app

Hii dhana ya kusema Jpm alikuwa akipendelea Wasukuma wenzake mlikuwa mkimaanisha Wasukuma wa mkoa gani!???

Sio nyinyi mliosema kudeka deka kwa Wasukuma kumefika mwisho kisa Godfather wao kafariki,

Sasa leo vp tena mnaanza kujibaraguza na kujipendekeza Mwanza na kuanza kukana kauli zenu!??
 
Mi mwenyewe msukuma lakn nasema hakuna msukuma wa Aina ya jiwe, huyo alikuwa mrundi pure
 
Weka hapa kipande cha audio au video ambapo kiongozi wa CHADEMA akimtukani huyo shetani wenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…