PICHA: Kipa wa Simba, Aishi Manula arejea kikosini. Afanya mazoezi kuelekea mechi ya Shirikisho

PICHA: Kipa wa Simba, Aishi Manula arejea kikosini. Afanya mazoezi kuelekea mechi ya Shirikisho

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Air Manula mazoezini kujiandaa na mechi ya Kombe la Shirikisho la CRDB Machi 27 na Big Man FC (zamani Mwadui FC).

Mechi hiyo ya Kufuzu robo fainali CRDB Bank Federation Cup, Mnyama Simba SC atakuwa KMC Stadium majira ya saa 10:00 Jioni kukipiga na Bigman.



IMG_3723.jpeg
IMG_3724.jpeg
 
Simba hawana ujanja, ni lazima waanze kumtumia wakati Camara yuko anatibiwa.
 
Huyu Manula aondoke zake tu mwishoni mwa msimu. Hawezi kuendelea kufanya kazi na watu wanao mdharau.
 
Simba hawana ujanja, ni lazima waanze kumtumia wakati Camara yuko anatibiwa.
Kwa tunaomjua vyema Manula huyo Camara akipona sasa hivi hilo Jeraha lake nitatembea kwa Miguu Kampala hadi Dodoma.
 
Back
Top Bottom