Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Gooooood📌🔨💪🏿✌🏿Air Manula mazoezini kujiandaa na mechi ya Kombe la Shirikisho la CRDB Machi 27 na Big Man FC (zamani Mwadui FC).
Mechi hiyo ya Kufuzu robo fainali CRDB Bank Federation Cup, Mnyama Simba SC atakuwa KMC Stadium majira ya saa 10:00 Jioni kukipiga na Bigman.
View attachment 3284166View attachment 3284167
Ataondoka akimaliza mkataba, bado ana nafasi kubwa ya kucheza timu ya taifa endapo atapata timu itakayo mpa nafasi ya kucheza.Huyu Manula aondoke zake tu mwishoni mwa msimu. Hawezi kuendelea kufanya kazi na watu wanao mdharau.
Sasa utajua kwa nini Simba waliamua "kusogeza" mbele mechi ya Derby!Simba hawana ujanja, ni lazima waanze kumtumia wakati Camara yuko anatibiwa.
Lakred yuko wapi?.Sasa utajua kwa nini Simba waliamua "kusogeza" mbele mechi ya Derby!
[emoji706]Huyu Manula aondoke zake tu mwishoni mwa msimu. Hawezi kuendelea kufanya kazi na watu wanao mdharau.
🚮[emoji706]
Kwa tunaomjua vyema Manula huyo Camara akipona sasa hivi hilo Jeraha lake nitatembea kwa Miguu Kampala hadi Dodoma.Simba hawana ujanja, ni lazima waanze kumtumia wakati Camara yuko anatibiwa.
Alianza Yeye Kwanza kupigwa Pini (Kurogwa) na Manula sasa ni zamu ya Camara. Hawa Watoto wa Morogoro ni balaa mno.Lakred yuko wapi?.
Anarejea kutoka wapiAir Manula mazoezini kujiandaa na mechi ya Kombe la Shirikisho la CRDB Machi 27 na Big Man FC (zamani Mwadui FC).
Mechi hiyo ya Kufuzu robo fainali CRDB Bank Federation Cup, Mnyama Simba SC atakuwa KMC Stadium majira ya saa 10:00 Jioni kukipiga na Bigman.
View attachment 3284166View attachment 3284167