Kwa namna yoyote ile Mgunda ni Kocha wa muda kwa Simba SC na Kocha wa kudumu kwa Coastal UnionMsitegemee makubwa sana kwa Mgunda, bado mapema maana akili za makolo mnzijuwa wanyewe, kesho hamkawii kusema bora matola anaijua tomu from scratching.
Kama umesoma Cuba, tafuta tweter ya barbra alivyosema kuhusu makocha wazawa uone na hiki simba walichokifanya, hapo utajua kuwa mgunda huenda akawa wa kudumu.Kwa namna yoyote ile Mgunda ni Kocha wa muda kwa Simba SC na Kocha wa kudumu kwa Coastal Union
Na kuna sababu kuwepo pale kwa huo muda
Sio vibaya tuamini vya kwetu sasa unaleta wageni bado mambo ni yale yale na option tunazo hapa nyumbaniKama umesoma Cuba, tafuta tweter ya barbra alivyosema kuhusu makocha wazawa uone na hiki simba walichokifanya, hapo utajua kuwa mgunda huenda akawa wa kudumu.
Nimefurahi sana kumuona mwambaKwani anatangazwa kufurushwa kiasi asionekane kwenye msafara hapo mkuu?
Au umefurahi tu kumuona..!
Kwa kipindi hiki cha siku mbili ilikuwa hakuna namna baada ya Kocha Zaron Maki kuondoka.Pablo anazidiwa mbinu na mgunda,soka la afrika ni la aina yake sio sawa na ulaya,lazima upate mtu anayelielewa,mgunda ni mtu sahihi kwa muda huu japo najua atatafutwa mwingine wa kudumu