Picha: Kocha Mkuu Mgunda akiwa ameungana na Simba SC safari kuwafuata Nyasa Big Bullets

Picha: Kocha Mkuu Mgunda akiwa ameungana na Simba SC safari kuwafuata Nyasa Big Bullets

Ghazwat

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2015
Posts
23,718
Reaction score
66,267
Kocha mkuu wa muda Juma Mgunda akiwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere mapema leo September 8 akiwa ameungana Kikosi cha Simba SC, Wekundu wa Msimbazi, safarini kuelekea nchini Malawi kuifuata Nyasa Big Bullets kwa ajili ya mchezo wa mkondo wa kwanza Ligi ya Mabingwa Afrika CAFCL.
20220908_073840.jpg
20220908_073848.jpg
20220908_073824.jpg
20220908_073844.jpg
 
Msitegemee makubwa sana kwa Mgunda, bado mapema maana akili za makolo mnzijuwa wanyewe, kesho hamkawii kusema bora matola anaijua tomu from scratching.
Kwa namna yoyote ile Mgunda ni Kocha wa muda kwa Simba SC na Kocha wa kudumu kwa Coastal Union

Na kuna sababu kuwepo pale kwa huo muda
 
Pablo anazidiwa mbinu na mgunda,soka la afrika ni la aina yake sio sawa na ulaya,lazima upate mtu anayelielewa,mgunda ni mtu sahihi kwa muda huu japo najua atatafutwa mwingine wa kudumu
Kwa kipindi hiki cha siku mbili ilikuwa hakuna namna baada ya Kocha Zaron Maki kuondoka.

Hata wangempata Kocha mpya asingekuwa na maajabu kwenye benchi la ufundi.

Hata Kocha wa Azam FC alifika siku ya game na akaishia kukaa Jukwaani.

Walau Mgunda kuna hata wachezaji wa Simba anawajua na hasa ambao walikuwepo Taifa Stars amewafundisha.
 
Back
Top Bottom