Ghazwat
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 23,718
- 66,267
Kocha mkuu wa muda Juma Mgunda akiwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere mapema leo September 8 akiwa ameungana Kikosi cha Simba SC, Wekundu wa Msimbazi, safarini kuelekea nchini Malawi kuifuata Nyasa Big Bullets kwa ajili ya mchezo wa mkondo wa kwanza Ligi ya Mabingwa Afrika CAFCL.