PICHA: Kumbe Prof Assad ni MwanaCHADEMA

PICHA: Kumbe Prof Assad ni MwanaCHADEMA

Bezecky

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2024
Posts
494
Reaction score
897
Kumbe Magufuli alipomng'oa huyu CAG Mstaafu kabla ya wakati na kwa kinyume Cha Sheria alimfahamu kuwa ni Mwanachama wa CHADEMA!!

IMG-20250312-WA0835.jpg
 
Prof. Assad ni mwezeshaji resource person ana share ujuzi wake wa muda mrefu kwa manufaa ya taifa, hata akialikwa CHADEMA kutoa mhadhara ni sehemu ya kurudisha kwa jamii kama Prof. Mohamed Janabi wa MUhimbili anavyotoa elimu kwa jamii pana.

Kongole msomi Prof. Assad kwa kuwa mzalendo kurudisha kwa jamii kile alichosoma na kukifanyia kazi kwa kodi za raia wawe CCM, CHADEMA au BAKWATA n.k
 
Sidhan kama una ubongo wa bnadamu kwa akili hz hakika ww ni ngiri kwan kuwa chadema hupaswi kusaidia serikali ikihtaji msaada wako? Niambie maccm kwa zaid ya 60 wamefanya nn cha maana kama maji tu yamewashnda.
 
Back
Top Bottom