Picha: Kwa hatua hii ya Dubai, kweli Tanzania tumelogwa

Picha: Kwa hatua hii ya Dubai, kweli Tanzania tumelogwa

TheDreamer Thebeliever

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2018
Posts
2,490
Reaction score
3,584
Haya ndio maendeleo ya Dubai ndani ya miaka michache, waTanzania sisi tumelogwa miaka zaidi ya 50 hakuna jipya.

IMG_20210912_115254.jpg
 
😂😂😂 Yaan Inaumiza at the same time inachekesha.
China Wana recourses asili nyingi na Wanafanya kazi sana + akili Lakin hawakuweza toka pale walipokua hadi pale mabeberu walipo wekeza kwa nguvu ndiyo Leo China tunaona iko pale.
Muda utaongea
Bila mabeberu hakuna maendeleo popote pale.
 
View attachment 1934544jamaa licha ya kuibadilisha Dubai na utajiri wa mabilion kaja kugongewa mke wake na mlinzi hana kitu tena mke wake kipenzi wa mwisho.
Mzee, mapenzi na maendeleo ni nadra sana ku-move together (in Hayati Magufuli voice)---Mshkaji muda wote anawaza how to transform his country----Sisi muda wote tunawaza namna ya kuipondaponda mbususu
 
Mzee, mapenzi na maendeleo ni nadra sana ku-move together (in Hayati Magufuli voice)---Mshkaji muda wote anawaza how to transform his country----Sisi muda wote tunawaza namna ya kuipondaponda mbususu
Kinachomuuma ni mke wake kipenzi wa mwisho Haya bint alhussein binti aliyekuwa mfalme wa Jordan kumkimbia kwa kufa kimapenzi na mlinzi wake Muingereza nakuomba talaka.

Kingine Kinachomuuma kazuiliwa kuwaona watoto wake. Jamaa hana furaha kabisa.
 
Back
Top Bottom