Picha: Kwa hatua hii ya Dubai, kweli Tanzania tumelogwa

Picha: Kwa hatua hii ya Dubai, kweli Tanzania tumelogwa

Mao alikaa na madini yake chumbani wee!! Daa! Jamaa wanajiuliza: Huyu dingi ataondoka lini huyu?
Alivyosepa tu! Ikawa balaa!! Mambo yakawa: Beberu eeee!! Ameishasepa njoo!!
Paaap!! Beberu akaingia!!
Sasa Mchina ni wa pili kwa USA, na akiteleza tu, anamuovateki!!
Wangebaki na mawazo mfu ya Mao wangekuwa SAwa na tanzania tu maendeleo
 
Moja ya shida za wabongo ni kuwaza ngono all the time.... Huyo jamaa ameleta mageuzi makubwa sana nchini kwake na dunia inamtambua jinsi alivyoyumia resources chache walizonazo kubadilisha jangwa kuwa tourist centers... Angewaza ngono kama wewe asingefika Popote kwa sababu mbunye si ya kushindana nayo, na ndiyo maana hata yeye hapo atakuwa na wanawake wengi...
Starehe haizuii mtu kuwa na maendeleo.
Kuna watu wanafungua Sana vizibo na zipu daily na wapo juu kimaendeleo.
Maendeleo ni akili
 
Nilichomaanisha ni kwamba:, pesa ya makampuni ya mabeberu ndiyo inqjenga Qatar, Saudi etc.
Waraabu hawakujua kuwa wanamafuta, hata baada ya kujua kuwa wanamafuta chini ya ardhi baada ya mabeberu kufanya tafiti bado hawakuwa na nyenzo kazi za kuyatoa ardhini hadi kwenye mapipa.
Ili bidi show asimamie beberu kuchimba na mnunuzi mkubwa akawa ni yeye mwarabu yeye kazi yake ikawa ni kusaini mikataba tu.
True hata sisi bila kiherehere cha kina Nyerere na wenzake tungekuwa mbali sana kiuchumi.
 
sio ishu,balaa ni pale huna hela,huna umaarufu wala umashuhuri,na unachapiwa mkeo mpaka wanamuiba.

unajiua[emoji26][emoji26].

mwamba kinachombana labda ni crown tu,ila anaweza kula demu yeyote,isipokuwa hataweka wazi maana ni haram.
Kujiua kisa mke au mapenzi ni ubinafsi na ukatili wa hali ya juu Sana.
 
Sera ya uwekezaji ikiwa nzuri itawavutia matajiri mbalimbali duniani kuja kuwekeza; tajiri yeyote anataka uhakika/usalama wa mali zake hata miaka mia ikibidi. Nb; tajiri ndio anayetengeneza ajira, na masikini ndio anayeajiriwa.
Tena kwa nchi kama ya kwetu yenye malighafi zote ni rahisi sana kuwa na sera nzuri za kuwawezesha wawekezaji wa kigeni kujenga viwanda vyao hapahapa na kuajiri watanzania ambao wengi ni vijana wamejaa mijini hawana kazi.

Pili, kuingia ubia na wawezekaji wa nje kujenga viwanda na kuzalisha bidhaa watakazouza huko kwao lakini hapa kwetu tunafadika na mgao wa faida kwa fedha za kigeni.
 
Na wewe umegongewa pia nini? Mkishakamata vijichenji mnakuwa vimungu watu. Dawa yenu ni sisi maskini kuwagongea tu wake zenu na mademu
Mkaldayo bana..utakuja kupigwa risasi ya kwenye mapumbuh..matajiri wana roho mbaya sana.
 
True hata sisi bila kiherehere cha kina Nyerere na wenzake tungekuwa mbali sana kiuchumi.
Ukweli mchungu..Nyerere mzee wetu huyu kuna namna alivuruga mambo..tulipaswa kuwa mbali sana ukanda huu wa sub-saharan.
 
Nilichomaanisha ni kwamba:, pesa ya makampuni ya mabeberu ndiyo inqjenga Qatar, Saudi etc.
Waraabu hawakujua kuwa wanamafuta, hata baada ya kujua kuwa wanamafuta chini ya ardhi baada ya mabeberu kufanya tafiti bado hawakuwa na nyenzo kazi za kuyatoa ardhini hadi kwenye mapipa.
Ili bidi show asimamie beberu kuchimba na mnunuzi mkubwa akawa ni yeye mwarabu yeye kazi yake ikawa ni kusaini mikataba tu.
....na kunywa kahawa!
 
Back
Top Bottom