Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huo ndiyo uzalendo hasa!Unaitoa nafsi yako ihenyeke kujenga nchi.Na ukiona hawakuelewi unawapa na mke kabisa.Utaoa mwingine.😝😝😝😝View attachment 1934544jamaa licha ya kuibadilisha Dubai na utajiri wa mabilion kaja kugongewa mke wake na mlinzi hana kitu tena mke wake kipenzi wa mwisho.
Ni bora aina hiyo ya maendeleo ya mabarabara na majengo mazuri kuliko watu mnajifanya matajiri kumbe ni mafisadi na nchi kuonekana ovyo kwenye mipangilio ya miundombinu.Kama nchi imeshindwa kuendelea basi endelea wewe, kila inapofika BD yako jitathmini mwenyewe na ujilinganishe na wale wanaofanana na wewe kielimu na kimalezi, nchi inaweza kuwa na barabara nzuri,majengo mazuri, shule nzuri na hospitali bora lakini wananchi wakawa maskini.
Hata kama ataoa mwengine jamaa inamuuma maskini mlinzi tena kafiri waif kagongwa nakunogewa nakuomba talaka. Ijatosha licha ya nguvu na hela alizonazo bado tu kazuiliwa kuona watoto wake.Huo ndiyo uzalendo hasa!Unaitoa nafsi yako ihenyeke kujenga nchi.Na ukiona hawakuelewi unawapa na mke kabisa.Utaoa mwingine.😝😝😝😝
Mao alikaa na madini yake chumbani wee!! Daa! Jamaa wanajiuliza: Huyu dingi ataondoka lini huyu?😂😂😂 Yaan Inaumiza at the same time inachekesha.
China Wana recourses asili nyingi na Wanafanya kazi sana + akili Lakin hawakuweza toka pale walipokua hadi pale mabeberu walipo wekeza kwa nguvu ndiyo Leo China tunaona iko pale.
Muda utaongea
Kuibadilisha nchi na ikawa na utajiri wa mamilioni haimzui mke kipenzi kuchepuka na mlinzi tena asiye na kitu.View attachment 1934544jamaa licha ya kuibadilisha Dubai na utajiri wa mabilion kaja kugongewa mke wake na mlinzi hana kitu tena mke wake kipenzi wa mwisho.
Mganga wa umaskini ni Tajiri sio traditional healer etc.. Tajiri akikushika mkono hata kama huna experience ama mtaji ujue umetoboa.Mao alikaa na madini yake chumbani wee!! Daa! Jamaa wanajiuliza: Huyu dingi ataondoka lini huyu?
Alivyosepa tu! Ikawa balaa!! Mambo yakawa: Beberu eeee!! Ameishasepa njoo!!
Paaap!! Beberu akaingia!!
Sasa Mchina ni wa pili kwa USA, na akiteleza tu, anamuovateki!!
Mkuu Congo wamewakaribisha matajiri mabeberu lakini bado wanapiga Marktime. Ingekuwa rahisi hivyo kuwa Nchi tajiri nafikiri umasikini ungepunguwa sana Duniani.Mganga wa umaskini ni Tajiri sio traditional healer etc.. Tajiri akikushika mkono hata kama huna experience ama mtaji ujue umetoboa.
Sera za Mao hazikuwa na Impact yoyote kwenye uchumi wa China hadi pale Deng Xiaoping alivyoujua ukweli machungu kuwa bila Beberu hatutoboi
Uwekazaji wa mabeberu wanaofanya Africa sio Uwekazaji wa nguvu kama wanaofanya nje ya Africa.Mkuu Congo wamewakaribisha matajiri mabeberu lakini bado wanapiga Marktime. Ingekuwa rahisi hivyo kuwa Nchi tajiri nafikiri umasikini ungepunguwa sana Duniani.
Sera za Mao hazikuwa nzuri kwa 100% lakini kwa namna flani ziliwapa kujiamini na kuamini Utaifa. DeDeng kaijenga China juu ya Nchi ambayo tayari kiongozi wa kwanza alishamaliza kazi yake kwa mtazamo wake. Hakuna Kiongozi anayeijenga Nchi akamaliza, unasahihisha pale mwenzako alipokosea unasonga mbele.
Strict supervision! Congo misses that. Adhabu ya Mchina kwa mhujumu uchumi ni kupigwa risasi! Na inatekelezwa.Mkuu Congo wamewakaribisha matajiri mabeberu lakini bado wanapiga Marktime. Ingekuwa rahisi hivyo kuwa Nchi tajiri nafikiri umasikini ungepunguwa sana Duniani.
Sera za Mao hazikuwa nzuri kwa 100% lakini kwa namna flani ziliwapa kujiamini na kuamini Utaifa. DeDeng kaijenga China juu ya Nchi ambayo tayari kiongozi wa kwanza alishamaliza kazi yake kwa mtazamo wake. Hakuna Kiongozi anayeijenga Nchi akamaliza, unasahihisha pale mwenzako alipokosea unasonga mbele.
Upo nje ya mada mkuu,ungefungua uzi wa kwako kuhusu hilo uliloliandika.View attachment 1934544jamaa licha ya kuibadilisha Dubai na utajiri wa mabilion kaja kugongewa mke wake na mlinzi hana kitu tena mke wake kipenzi wa mwisho.
View attachment 1934544jamaa licha ya kuibadilisha Dubai na utajiri wa mabilion kaja kugongewa mke wake na mlinzi hana kitu tena mke wake kipenzi wa mwisho.
Mkuu Congo wamewakaribisha matajiri mabeberu lakini bado wanapiga Marktime. Ingekuwa rahisi hivyo kuwa Nchi tajiri nafikiri umasikini ungepunguwa sana Duniani.Mganga wa umaskini ni Tajiri sio traditional healer etc.. Tajiri akikushika mkono hata kama huna experience ama mtaji ujue umetoboa.
Sera za Mao hazikuwa na Impact yoyote kwenye uchumi wa China hadi pale Deng Xiaoping alivyoujua ukweli machungu kuwa bila Beberu hatutoboi
Kwa hiyo hapa tukubaliane. Uongozi thabiti na wakati muafaka. Si suala tu la kuwakaribisha mabeberu!Strict supervision! Congo misses that. Adhabu ya Mchina kwa mhujumu uchumi ni kupigwa risasi! Na inatekelezwa.
Hakuna masihara.
Nani ataiba? Well, wapo wanaojaribu!
Mkuu huyo jamaa hana furaha kabisa. Waliyokaribu naye wanadai analaani kichiz mke wake kuliwa na kafiri na maskini hadi kumtoroka. Sasa hivi hata hawezi kuwaona watoto wake. Kuna wakati alichanganyikiwa akawa anaandika mashairi tu.
Na wewe umegongewa pia nini? Mkishakamata vijichenji mnakuwa vimungu watu. Dawa yenu ni sisi maskini kuwagongea tu wake zenu na mademuUpo nje ya mada mkuu,ungefungua uzi wa kwako kuhusu hilo uliloliandika.
Moja ya shida za wabongo ni kuwaza ngono all the time.... Huyo jamaa ameleta mageuzi makubwa sana nchini kwake na dunia inamtambua jinsi alivyoyumia resources chache walizonazo kubadilisha jangwa kuwa tourist centers... Angewaza ngono kama wewe asingefika Popote kwa sababu mbunye si ya kushindana nayo, na ndiyo maana hata yeye hapo atakuwa na wanawake wengi...View attachment 1934544jamaa licha ya kuibadilisha Dubai na utajiri wa mabilion kaja kugongewa mke wake na mlinzi hana kitu tena mke wake kipenzi wa mwisho.