Usiseme zinajengwa na mabeberu bali wachoraji na wabunifu wengi watoka nchi za kibeberu wakisaidiana na wazawa.Dubai, Qatar etc zinajengwa na mabeberu na watu wa mashariki ya mbali.. Tanzania mabeberu wanatukanwa na Wana siasa na kubezwa.
Tukubalini kuvuta mkia.
Usiseme zinajengwa na mabeberu bali wachoraji na wabunifu wengi watoka nchi za kibeberu wakisaidiana na wazawa.
Fedha wanazolipwa zinatokana na mauzo ya mafuta.
Ipo "clip" ya mwarabu alijibu hoja ya kushangaa kwanini sisi waafrika hatuendelei.
Anasema tumekosa "Good Leadership" jambo ambalo ni kweli.
Uongozi mzuri unojitambua huleta utawala bora.
Nilichomaanisha ni kwamba:, pesa ya makampuni ya mabeberu ndiyo inqjenga Qatar, Saudi etc.Usiseme zinajengwa na mabeberu bali wachoraji na wabunifu wengi watoka nchi za kibeberu wakisaidiana na wazawa.
Fedha wanazolipwa zinatokana na mauzo ya mafuta.
Ipo "clip" ya mwarabu alijibu hoja ya kushangaa kwanini sisi waafrika hatuendelei.
Anasema tumekosa "Good Leadership" jambo ambalo ni kweli.
Uongozi mzuri unojitambua huleta utawala bora.
Je umejiuliza alivyowatesa vibarua kutoka nchi maskini waliojenga Dubai kwa malipo ya hovyo na kutumika kama watumwa licha ya Dubai kuwa na utajiri mwingi? Malipo yake ndo hayo sasa kugongewa mke na maskiniMoja ya shida za wabongo ni kuwaza ngono all the time.... Huyo jamaa ameleta mageuzi makubwa sana nchini kwake na dunia inamtambua jinsi alivyoyumia resources chache walizonazo kubadilisha jangwa kuwa tourist centers... Angewaza ngono kama wewe asingefika Popote kwa sababu mbunye si ya kushindana nayo, na ndiyo maana hata yeye hapo atakuwa na wanawake wengi...
Duuuuh kwetu unaweza kujenga toka 2016 mpaka 2021 na bado haujahamiaaya ndio maendeleo ya Dubai ndani ya miaka michache,waTanzania sisi tumelogwa miaka zaidi ya 50 hakuna jipya.
View attachment 1934527
HahahaMabeberu watatuibia madini yetu.
sio ishu,balaa ni pale huna hela,huna umaarufu wala umashuhuri,na unachapiwa mkeo mpaka wanamuiba.View attachment 1934544jamaa licha ya kuibadilisha Dubai na utajiri wa mabilion kaja kugongewa mke wake na mlinzi hana kitu tena mke wake kipenzi wa mwisho.
Hizo zinaitwa nyege za maendeleoπNa ukiona hawakuelewi unawapa na mke kabisa
Kwahiyo ikarudisha maendeleo ya Dubai nyuma?View attachment 1934544jamaa licha ya kuibadilisha Dubai na utajiri wa mabilion kaja kugongewa mke wake na mlinzi hana kitu tena mke wake kipenzi wa mwisho.
China Wana recourses asili nyingi na Wanafanya kazi sana + akili Lakin hawakuweza toka pale walipokua hadi pale mabeberu walipo wekeza kwa nguvu ndiyo Leo China tunaona iko pale.
Muda utaongea
Huyo mlinzi wake bado yupo hai?Mkuu huyo jamaa hana furaha kabisa. Waliyokaribu naye wanadai analaani kichiz mke wake kuliwa na kafiri na maskini hadi kumtoroka. Sasa hivi hata hawezi kuwaona watoto wake. Kuna wakati alichanganyikiwa akawa anaandika mashairi tu.
Nimeipenda Komenti yakoKwa haya mawazo yako ndo maana watoto wa kiume mnapelekewa moto na mabeberu...fanya kazi acha kulalama lalama kama mwanamke malayaπππ
Kwa haya mawazo yako ndo maana watoto wa kiume mnapelekewa moto na mabeberu...fanya kazi acha kulalama lalama kama mwanamke malayaπππ
Sera ya uwekezaji ikiwa nzuri itawavutia matajiri mbalimbali duniani kuja kuwekeza; tajiri yeyote anataka uhakika/usalama wa mali zake hata miaka mia ikibidi. Nb; tajiri ndio anayetengeneza ajira, na masikini ndio anayeajiriwa.Usiseme zinajengwa na mabeberu bali wachoraji na wabunifu wengi watoka nchi za kibeberu wakisaidiana na wazawa.
Fedha wanazolipwa zinatokana na mauzo ya mafuta.
Ipo "clip" ya mwarabu alijibu hoja ya kushangaa kwanini sisi waafrika hatuendelei.
Anasema tumekosa "Good Leadership" jambo ambalo ni kweli.
Uongozi mzuri unojitambua huleta utawala bora.
Hasa wale wanasiasa wakomunist wenye mawazo ya Miaka ya 70.Dubai, Qatar etc zinajengwa na mabeberu na watu wa mashariki ya mbali.. Tanzania mabeberu wanatukanwa na Wana siasa na kubezwa.
Tukubalini kuvuta mkia.
Hayana tija kwetu hata yakibakiaMabeberu watatuibia madini yetu.
Tatizo ni uongozi badala ya kununua matrekta yakazalishe tuuze nje na kutoa ajira tunanunua ndege zipaki,ma v8 yatafune kodi zetu.πππ Yaan Inaumiza at the same time inachekesha.
China Wana recourses asili nyingi na Wanafanya kazi sana + akili Lakin hawakuweza toka pale walipokua hadi pale mabeberu walipo wekeza kwa nguvu ndiyo Leo China tunaona iko pale.
Muda utaongea
Mshkaji anaitwa Nani mkuuHata kama ataoa mwengine jamaa inamuuma maskini mlinzi tena kafiri waif kagongwa nakunogewa nakuomba talaka. Ijatosha licha ya nguvu na hela alizonazo bado tu kazuiliwa kuona watoto wake.
Acha ya mpate tu malipo ni hapa hapa duniani. Ametesa sana vibarua kutoka nchi maskini Africa india Bangladeshi na Pakistani kwa kuwafanyisha kazi kama watumwa kwa masaa mengi na mshahara kidogo hao waliojenga Dubai wengi ni marehemu kwa unyanyasaji na wazima ni wagonjwa. Uchoyo na roho mbaya ukizingatia utajiri Dubai unao. Sasa kagongewa