Picha: Kwa hatua hii ya Dubai, kweli Tanzania tumelogwa

Wangebaki na mawazo mfu ya Mao wangekuwa SAwa na tanzania tu maendeleo
 
Starehe haizuii mtu kuwa na maendeleo.
Kuna watu wanafungua Sana vizibo na zipu daily na wapo juu kimaendeleo.
Maendeleo ni akili
 
True hata sisi bila kiherehere cha kina Nyerere na wenzake tungekuwa mbali sana kiuchumi.
 
sio ishu,balaa ni pale huna hela,huna umaarufu wala umashuhuri,na unachapiwa mkeo mpaka wanamuiba.

unajiua[emoji26][emoji26].

mwamba kinachombana labda ni crown tu,ila anaweza kula demu yeyote,isipokuwa hataweka wazi maana ni haram.
Kujiua kisa mke au mapenzi ni ubinafsi na ukatili wa hali ya juu Sana.
 
Sera ya uwekezaji ikiwa nzuri itawavutia matajiri mbalimbali duniani kuja kuwekeza; tajiri yeyote anataka uhakika/usalama wa mali zake hata miaka mia ikibidi. Nb; tajiri ndio anayetengeneza ajira, na masikini ndio anayeajiriwa.
Tena kwa nchi kama ya kwetu yenye malighafi zote ni rahisi sana kuwa na sera nzuri za kuwawezesha wawekezaji wa kigeni kujenga viwanda vyao hapahapa na kuajiri watanzania ambao wengi ni vijana wamejaa mijini hawana kazi.

Pili, kuingia ubia na wawezekaji wa nje kujenga viwanda na kuzalisha bidhaa watakazouza huko kwao lakini hapa kwetu tunafadika na mgao wa faida kwa fedha za kigeni.
 
Na wewe umegongewa pia nini? Mkishakamata vijichenji mnakuwa vimungu watu. Dawa yenu ni sisi maskini kuwagongea tu wake zenu na mademu
Mkaldayo bana..utakuja kupigwa risasi ya kwenye mapumbuh..matajiri wana roho mbaya sana.
 
True hata sisi bila kiherehere cha kina Nyerere na wenzake tungekuwa mbali sana kiuchumi.
Ukweli mchungu..Nyerere mzee wetu huyu kuna namna alivuruga mambo..tulipaswa kuwa mbali sana ukanda huu wa sub-saharan.
 
....na kunywa kahawa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…