Mwanetu sogea kule kwenye thread.Tembo na twiga ni usd 15000 kama haijabadilika hapo ni kama 39.7M hivi
Nipenyeze EP 2 niweke kwenye ule uzi wako...Tembo na twiga ni usd 15000 kama haijabadilika hapo ni kama 39.7M hivi
Ndio imetoka hiyo, gonga wanyama wengine lakini si big five au wale wanyama ambao wako kwenye pesa. Fine yake inaweza kukurudisha nyuma kimaendeleoMwenye fuso ndiyo keshatiwa umasikini kimasihara
Unajua kiinua mgongo cha mwl ni shngap?Faini yake sio mchezo ni kiinua mgongo cha mwalimu
Fisi thamani yake ni 4MJe kugonga fisi bwana afya
Hii ya miaka kama mitano au sita iliopita. Faini ni 35m kama ni wneo la hifadhi kama hapo ilikuwa Mikumi national park.Wakuu, naaamini humu kutakuwa na wajuzi watakaoweza kujibu swali langu hili.
Kama umegonga Twiga kama inavyoonekana hapo pichani, faini yake huwa ni shingapi?
Hii picha nimekutana nayo huko X na imenipa maswali mengi.
Na hiyo hela ukishalipa inaenda kwa familia ya Twiga kama fidia au inaenda wapi?
Fisi ilitakiwa wala kusiwe na faini,tena huyo fisi achapwe viboko.Fisi thamani yake ni 4M
mkuu unachotufanyia kule kwenye uzi wetu sio poa kabisa.Tembo na twiga ni usd 15000 kama haijabadilika hapo ni kama 39.7M hivi