Me , myself and i logic ipo Kwa Kila mtu so why chase😎💔🚮
We don't chase women like before because times have changed.
Ikabandikwe posta hiii au kwa mama Samia ikuluNi gharama sana kufukuzia siku hizi, kwanza hauko peke yako, kuna njemba zingine zinafukuzia na kula kabisa. Utaliwa hela bure na mzigo hutapewa
Upo kiongoziIkabandikwe posta hiii au kwa mama Samia ikulu
DAr es salaam, madem wanapatikana kuanzia elfu 5 maneno ya kinondoni vijana , sinza, River Side, wanafunzi wa UDSM, kitaambaa cheupe sinza na Tabata, kisuma bar zote wapo wanao jiuza, mwanaume hawezi tumia miezi miwili kutafuta utelezi ambao anaweza kuupata kwa dakika mbili na ana hururu nayo.
Tumeambiwa "no means no".