secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
Mkuu huo mti mkavu watanzania wengi tunaougopa sana, wakati mwingine kuliko kuongea kiingereza tuanaona bora tuchapwe fimbošKizungu cha uingereza hakihitaji uende shule. Ni sawa tu na kiluguru ukijichanganya na waluguru unakielewa.