Picha: Kwanini wanaume siku hizi hawawafukizii sana wanawake kama zamani? Shida ni nini?

Kizungu cha uingereza hakihitaji uende shule. Ni sawa tu na kiluguru ukijichanganya na waluguru unakielewa.
Mkuu huo mti mkavu watanzania wengi tunaougopa sana, wakati mwingine kuliko kuongea kiingereza tuanaona bora tuchapwe fimbo😎
 
Hapo kwenye kuogopa sasa ndipo shida ilipo. Kwani ulianzaje kutembea

[<QUOTE="secretarybird, post: 53689428, member: 773617"]
Mkuu huo mti mkavu watanzania wengi tunaougopa sana, wakati mwingine kuliko kuongea kiingereza tuanaona bora tuchapwe fimbo😎
[/QUOTE]
 
So many things have changed in life ,, life is so tight ,, so pleasing someone to use your money is no longer a business that most men are interested in doing for now ,, women should know this now ..
 
Thamani ya mwanamke imeshuka coz wamejiwekea bei zao za kuwapata!!

"Mke wa mtu anamdharau mumewe alietoka nae mbali kisa anapitia kipindi kigumu Cha ukata,au kaleta mama mkwe Aishi pale kumuokoa na dhahma fulani,Kwa hasira anafanya mapenzi na vitoto vidogo kumkomoa mumewe,anaenda kufanya mapenzi na Mzee mwenye vihela na anafundishwa kum spin mumewe aliemleta eneo husika ili kumkomoa"thamani ya kufukuziwa inatoka wapi kama wana bei!!?

Wanajali wenye pesa na sisi tuna tamka dau tu mambo yanaanza hayooooo!!!!

Warudi kwenye misingi!
 
Also to avoid download section
 
Sasa mwanamke anakubali siku hiyohiyo hizo siku nyingi zann
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…