Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ole wako utupie siri za chama hapaNdo kilichobakia chadema hicho, pussy tu!
Ohooooo!!!ndo mana hata jamaa anapenda kipindi cha shilawadu mara nyingi wanaongelea kwichikwichi
Wema kapendeza kwenye mavazi huwa hakosei huyo binti.
Ohooooo!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mungu mtu povu lilimtoka Dodoma
Wabongo mnawaza ngono tu
hahaha umenichekesha eti kwichikwichindo mana hata jamaa anapenda kipindi cha shilawadu mara nyingi wanaongelea kwichikwichi
Si kuna bombardier siku hizi, hajui kwamba mtu anaweza akaondoka asubuhi Arusha akafanya yake Dar jioni au asubuhi akarudi kwa familia yakeWe nawe kwa kukukurupukaaa...sasa unajuaje kama na watoto wake pia amekuja nao dar je??
Ukisoma vizuri utaona wameandika kamsindikiza mahakamani sio nyumba ya kulala wageniWabongo mnawaza ngono tu
Hivi shilawadu ni kipindi cha nini
Sijawahi kuangaliaga hicho kitu
Una kajipoint....mapenzi yanajengwa katika mashirikiano.....japo sidhani kama Mh L anaweza kuvuka mpakaMmh huu ukaribu sasa umekua wa mwendo kasi kwa kweli, sio kwa mahaba hayo![]()