Picha: Lema amsindikiza Wema mahakamani leo

Picha: Lema amsindikiza Wema mahakamani leo

misokoto ya bangi? huku mbona sawa na ugoro ?
 
Hivi shilawadu ni kipindi cha nini
Sijawahi kuangaliaga hicho kitu

Ni kipindi kinachohusu mambo ya umbea umbea, unoko, yaani in general ni kipindi cha kisengenyaji tu, hakuna la zaidi pale.
 
Mmh huu ukaribu sasa umekua wa mwendo kasi kwa kweli, sio kwa mahaba hayo
75205293f482e581d6a8650e39ea1bc3.jpg
Una kajipoint....mapenzi yanajengwa katika mashirikiano.....japo sidhani kama Mh L anaweza kuvuka mpaka
 
Back
Top Bottom