Spanishboy
Senior Member
- Apr 24, 2011
- 118
- 65
why not?hivi ni kweli yupo hapa nchi huyu messi?
kaja na wabongo hatujui wazungu wanajua changa la macho au alidhani akijulikana Jk atawaongoza wabongo kumshika mkono na picha?
Hivi ni kweli yupo hapa Nchi huyu Messi?
umeona enheeee...Jk angejua messi yupo.. angeongoza msafara wakwenda kumsalimu.. na kiasili messi hapendi usimbufu
kwa hiyo mnataka kusema messi ni maarufu zaidi ya jk? poor you