Picha: Lionel Messi wa Bercelona apanda Mlima Kilimanjaro, alikuja kutengeneza Tangazo

Picha: Lionel Messi wa Bercelona apanda Mlima Kilimanjaro, alikuja kutengeneza Tangazo

kaja na wabongo hatujui wazungu wanajua changa la macho au alidhani akijulikana Jk atawaongoza wabongo kumshika mkono na picha?
 
kaja na wabongo hatujui wazungu wanajua changa la macho au alidhani akijulikana Jk atawaongoza wabongo kumshika mkono na picha?

Jk angejua messi yupo.. angeongoza msafara wakwenda kumsalimu.. na kiasili messi hapendi usimbufu
 
Angepelekwa uwanja wa taifa ili tumshangae kama lile kombe fake la dunia! Bongo nchi ya maajabu!
 
Karibu tena Mess kwenye nchi tajiri ila wananchi wake ni maskini wa kutupwa.!
 
kwa hiyo mnataka kusema messi ni maarufu zaidi ya jk? poor you

Zinakutosha kweli wewe? Hivi kuna Nchi gani hapa duniani ambayo utakosa raia wake wasiomjua mess? Halafu huyo jk yeye awe na umaarufu kwa lipi kimataifa?
 
Back
Top Bottom