Picha: Lionel Messi wa Bercelona apanda Mlima Kilimanjaro, alikuja kutengeneza Tangazo

Picha: Lionel Messi wa Bercelona apanda Mlima Kilimanjaro, alikuja kutengeneza Tangazo

Daaa Kweli wabongo tumefilisika kiwazo, hatareee kweli kweli!
 
kwa hiyo mnataka kusema messi ni maarufu zaidi ya jk? poor you

ndio maana yake! Hebu jiulize ni wangapi wanamjua rais wa Argentina? Na Argentina ni nchi kubwa kuliko TZ.. HALAFU JIULUZE WANGAPI WANAMJUA messi? Mi hadi mama yangu anamjua messi... Ila hamjui rais wa Argentina..
 
Hili Tangazo lipo kitambo sasa kwenye Media tofauti za dunia hii..... linachekesha sana. Kobe Vs Messi.

 
Last edited by a moderator:
Nina uhakika kuwa JK anamfahamu Messi lakini Messi hamfahamu JK. Sasa ndio utajua nani maarufu.
 
kwa hiyo mnataka kusema messi ni maarufu zaidi ya jk? poor you

for sure!!! mm nadhani hivyo. sidhani km kuna nchi huyu jamaa hajulikanwi ila naamini JK kuna nchi nyingi zisizomtambua..its obvious jamani hakuna mabishano hapo........(au tupitishe kura ya maoni hahahha):wink2:
 
KINAPA (Kili National Parks Authority) walikusanya mapato katika ugeni huu? Au kwa kuwa ni Messi walimpatia EXEMPTION?
 
Nina uhakika kuwa JK anamfahamu Messi lakini Messi hamfahamu JK. Sasa ndio utajua nani maarufu.

Ebanaeeeh!
Hii fursa angeipata "domo" wa my number one,loh! Angeandikwa weeeh.
Supastaa wa ukweli ni kimya kimya
 
NAOMBA KUULIZA KWA ANAYEJUA SABABU: Kwa nini lile bango la pale kileleni linaloonyesha urefu wa mlima,jina la kilele nk miaka yote lipo na muonekano wa hovyohovyo-makeshift look-kiasi linaonekana kama vijana waliokota mabanzi ya mbao wakagongagonga!. Kweli hatuwezi kuwa na bango zuri kuliko hilo,kweli!.
 
kapitia kenya au mkoa wa kilimanjaro? km kapandia kenya akifika kwao ataeleza mt kilimanjoro ipo kenya. wabongo tushtuke!
 
Back
Top Bottom