Uchaguzi 2020 Picha: Lissu aendelea na kampeni huko Marangu

Kwa kweli inapendeza hivi sasa kila sehemu naona kama kuna mashindano ya kumpokea TAL mbeba maono.
 
Asante KIilimanjaro
 

Attachments

  • 1601489621440.png
    168.5 KB · Views: 1
Kwenye ikulu za ndoto nafasi zipo nyingi
Kama magu kilaza namna hii aliingia ikulu sasa lisu akili mingi inashindikana nn kama wazee wa ccm wanamtaka lisu sembuse wewe
 
Nilikuwa maeneo ya sehemu panaitwa redstone pale moshi kwa Basi naelekea hom chuganian. Kwa kweli kwa umati ule tulisimama pale karibia nusu saa tukisubiri watu waishe.
Kuuliza vizuri maeneo Yale naambiwa kwa nyuma ya pale redstone ndo alikuwa anafanya mkutano. Nahisi huyu jamaa anaweza kushinda kwa Kile nilichokiona Leo pale moshi
 
Ubarikiwe Mkuu kahamasishe wengine 10 Mungu atende
 
Raisi wa mtandaoni hongera zake na zako pia kwa ushindi wa mtandaoni
Kuna jamaa kwenye sinema ya Yesu, aliambiwa Yesu ni Mfalme, akasema “Mfalme wa masikin, wagonjwa na wenye ukoma? Tuliwaona watu kama hao wakimfuata!” Siyo ajabu Wewe kusema hivyo, na si wa kwanza kushindwa kuona mambo yaliyo wazi kabisa kwa wengine!
 
Kuna watu wanajielewa sana,Moshi na viunga vyake asanteni sana.

Huyo ndiyo TL mwamba kutoka kanda ya kati.

Kura zote Chadema.
 
Asante Mkuu ubarikiwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…