Earthmover
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 24,977
- 23,799
- Thread starter
- #81
Na wame mharibu kweli kweli...Acha michezo michafu wazee wa CCM wana kuharibu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na wame mharibu kweli kweli...Acha michezo michafu wazee wa CCM wana kuharibu
Kija kaharibiwa na mzee sita sasa sijuwi ni nani anaendelea kumuharibuNa wame mharibu kweli kweli...
Roho inauma kweli kweli nikikumbuka Lowasa tulimdekia hadi barabara,kumbe alikua anatuchora tu na kutuona malofa,mzee hafai kabisa yuleWatu wana miminika barabarani kama nzige. kumlaki Mkombozi ...nasikia Singida wamejiapisha KUVUNJA REKODI
View attachment 1585826
Dakika chache zilizo pita Moshi
View attachment 1585959
View attachment 1585826
View attachment 1585826
Bubu akikaa kimya huwezi kumjua kama ni bubu, nyamazaSasa kura za marangu ndio za nchi nzima.
Grow up boy
At least u write something sensible tofauti na others , lakini for your benefit , kuna 100% sasa At least ushinde upate more than 50%Unataka wawe asilimia ngapi?
2810 ndio mwisho wa maneno na majigambo yote
So u r bubu? Sorry for that , and I pray for youBubu akikaa kimya huwezi kumjua kama ni bubu, nyamaza
kwa lugha yako ya umbo la maandishi tu TAYARI siku mingi....At least u write something sensible tofauti na others , lakini for your benefit , kuna 100% sasa At least ushinde upate more than 50%
Simu zinamulika uwanja mzimaMoshi mjini muda huu.View attachment 1585896
Atashinda ila hatopewa hapo ndipo fujo zitakapo anzaLissu akiwa Raisi wa hii nchi nafuta account yangu ya JamiiForum
Wacha tu Mkuu mpaka mlima Kilimanjaro umesema Shikamoo LISSU...NI YEYESimu zinamulika uwanja mzima
Nyie watu nyie! aaaaaaaaaaa!Natamani campaign zingekuwa zinafanyika Kwa miezi 4 hivi ili magufuli aendelee KUTUPIGIA MAGOTI
Una ndoto nzuri kweli ukiwa unasokomezwa ? Keep it up boy, that is your choice of your lifekwa lugha yako ya umbo la maandishi tu TAYARI siku mingi....
Ikulu ya ufipa.Wewe endelea kulala usingizi wa pono. Ukiamka utamkuta Lissu Ikulu.