Picha: List ya muvi zitakazotoka mwaka huu 2019

Picha: List ya muvi zitakazotoka mwaka huu 2019

Hivi Da Vinci unawezaje kudownload muvie kwenye PC.... maana job pale kuna free WIFI ila sijui embu nielekeze man...
Naomba niwekee steps zote hapa
Daah man mm sijawahi kabisa kupakua muvi kwa pc. Sijui kabisa.
Hua nanunua kwa masela.. Au niende ukumbini/Cinema kuangalia
 
Nenda mcity wanaonesha, jamaa wamemclone will Smith wametoa copy zake mbili ni shida

Mmoja kalelelwa kokawaida mwingine kama weapon wanabonda balaa
Siko dar ila karibu nilipo kuna cinema ngoja nicheki ratiba fb page yao
 
..
FB_IMG_1570480767151.jpeg
 
Mwenye anauza smart Tv aina yoyote inchi 32 anicheki +255744885518 ' 0785949773
 
Back
Top Bottom