Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 24,893
- 47,768
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe unapenda zipi?
Sure, ni watu flani hawamulikwi sana ila wanatembeza kisago balaaNampata mkuu nayeye yuko mnoma nimeona
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Mimi movie za actions sana sana, movie za mapenzi kama series ya POWER aiseeehhh, vili ulishaiona hiyo series ya POWER?Wewe unapenda zipi?
Power niliangalia ila nikaipotezea.Mimi movie za actions sana sana, movie za mapenzi kama series ya POWER aiseeehhh, vili ulishaiona hiyo series ya POWER?
Sent using Jamii Forums mobile app
Okey utaniambia ni movie gani ulizoziangalia ili nicheki ambayo sijaangaliaPower niliangalia ila nikaipotezea.
Huyu jamaa mwaka huu twaweza ona series yake kali inaenda kwa jina la Wu Assassin itakuwa na epsod 10..... Humo kacheza kama assassin mwenyewe ambapo ni shujaa aliyechaguliwa kama Wu Assassin wa hivi karibuni na wa mwisho anatakiwa kutafuta nguvu za kale za triad ili kurejesha usawa katika Chinatown ya San Francisco.Kacheza
Th raid
The raid 2 Redemption
Merantau
Mile22
Headshot
Nk
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
thanks let me try
Nitaisaka mkuu..Huyu jamaa mwaka huu twaweza ona series yake kali inaenda kwa jina la Wu Assassin itakuwa na epsod 10..... Humo kacheza kama assassin mwenyewe ambapo ni shujaa aliyechaguliwa kama Wu Assassin wa hivi karibuni na wa mwisho anatakiwa kutafuta nguvu za kale za triad ili kurejesha usawa katika Chinatown ya San Francisco.
Akiwemo na mkali Lewis Tan[emoji1491]...
Sent using Jamii Forums mobile app
Lucy (2014)?Nitaisaka mkuu..
Mkuu hii picha hua ni yanani na inamaanisha nini.. nimeitoa kwenye muvi ya Lucy niko naicheki hapa
Nitaisaka mkuu..
Mkuu hii picha hua ni yanani na inamaanisha nini.. nimeitoa kwenye muvi ya Lucy niko naicheki hapa
![]()
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Filamu hii inamuhusu mwanamke ambaye alipewa madawa ya kulevya ambayo yanamruhusu kufikia matumizi kamili ya ubongo wake na kupata mamlaka ya superhuman, inaonekana kuwa mfano mwingine wa uuzaji wa harakati ya transhumanism - ambapo zinajaribu kutumia teknolojia ili kumuongezea binadamu hatua ya kuwa wa milele na nguvu za kiMungu. Same as ile idea ya Shetani kutumiwa juu ya ubinadamu katika bustani ya Edeni na kuchochea watu kutoka kuamini kwa Mungu na kuamini kwamba wanaweza kuwa mungu wenyewe. Na ndio maana ya hyo picha hapo ni kivuli dhania cha Mungu na Adam.

Kuelewa kikamilifu ajenda hii ya Transhumanism/Singularity na harakati hizi za kuongoza mageuzi ya kibinadamu na kuwa mpya (mara nyingi huitwa homo superior), angalia video hii hapa chini ya conference yao:
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekujibu mkuu God vs AdamAhsante mkuu nimemaliza kuicheki sasa ivi japo nilikua nishaicheki 2016.
Mkuu nilikua namaanisha hiyo picha ya mchoro wa watu wanashikana mikono. Ni ya nani na inamaanisha nini??
Wick
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
mkuu hiyo picha inaonyesha creation of adam imechorwa na ,Michelangelo......Nitaisaka mkuu..
Mkuu hii picha hua ni yanani na inamaanisha nini.. nimeitoa kwenye muvi ya Lucy niko naicheki hapa
Nitaisaka mkuu..
Mkuu hii picha hua ni yanani na inamaanisha nini.. nimeitoa kwenye muvi ya Lucy niko naicheki hapa
![]()
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Huyu jamaa kaielezea vizuri hapa chini aseh!!..Hahaaaa ndio mkuu yanii siielewagi kabisa..
From 1508-1512, Michelangelo painted the ceiling of the Sistine Chapel with a series of frescoes that portrayed several biblical stories. Perhaps the most famous image from the ceiling is The Creation of Adam, which depicts God giving life to the first human, Adam
The Creation of Adam - Wikipedia
Muvi mbaya...Huhuhuuu za hivi ndiyo nyumbani.
March kesho kutwa tuuView attachment 1006404
The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.