Picha: List ya muvi zitakazotoka mwaka huu 2019

Picha: List ya muvi zitakazotoka mwaka huu 2019

Yan kuna kipindi nilikua naona 2019 haifiki sababu ya movies. Sasa imefika and i can't wait [emoji39][emoji39][emoji39]
 
Simjui huyu aseee... ila huyu wa vajra ukicheki mkono aliotoa pale wanataka kumchoma moto yule mama kwenye kung fu hustle nampa salute.. walitembeza kifinyo ataree akiwa ns wale wazee wawili

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Hatari sana mkuu... Mad Dog yupo the raid 1...jamaa flan hivi yupo rough sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom