Picha: List ya muvi zitakazotoka mwaka huu 2019

Sina maneno mengiii listi hii hapo. .


Sent from my GT-I9300 using Tapatalk

Mkuu hivi hio avengers ni muendelezo au wanakuja na story nyingine...
Mana ilopita kuna washkaji hapo walikufa na kubadilika kua mchanga [emoji38] but nawaona hapo kwenye cover!!
 
Hapana Shazam ni dogo flani akitamka neno SHAZAM anageuka kuwa mkubwa!. Hilo s.h.a.z.a.m ni herufi za miungu, nilisikia kuwa Black Adam atakuwepo sasa sijui kweli.
Deadpool muhuni sana yule jamaa, ukiwaweka pamoja shazam mshamba! [emoji23]
Deadpool nilikua namdharau zamani..
Ila ananiachaga hoi sana uboya wake..
Black adam humo inahusu nini.. sijawahi kuisoma hata overview ya hii muvi

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
 
Mkuu hivi hio avengers ni muendelezo au wanakuja na story nyingine...
Mana ilopita kuna washkaji hapo walikufa na kubadilika kua mchanga [emoji38] but nawaona hapo kwenye cover!!
Mkuu hakuna aliyekufa ambae ameonekana hapo..
Waliobaki ndio wako hapo. Ngoja tuone itakuaje maana hata story yake haijajulikana iko vipi. Ila ni mwendelezo wa mwisho wa muvi za Avangers.

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…