FENtastic
JF-Expert Member
- Aug 4, 2015
- 6,780
- 10,548
Hii kitu imepigwa zengwe since 2017! I hope sasa kitu kitakuwa on board[emoji1488].Wick
Kuna hii kitu inaitwa Triple Threat aisee moto wake usiuchezee ni kizazi kipya cha mkongoto kimewekwa pamoja.. tupa kule akina don, jet li, Jack chan etc..
Habri ya mjini ni Iko Uwais..!!
Humu yumo
Scott adkins
Michael J white
Tony Jaa
Iko uwais kama ulivyoona moto wake kwenye Mile22, Headshot, The Raid etc..
Tiger Chen nadhani ulimwona moto wake kwenye The man Of Tai Chi na The Matrix akicheza ile nafasi ambayo Jet li aliikataa. (Nimemsahau jina lake kwenye muvi)
![]()
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Hapa namsubiria:
1. Iko Uwais- mzee wa Silat fighting style, hatembei na silaha, silaha yako ndio kifo chako.
2. Tony Jaa-mzee wa Muay Thai
3. Tiger Chen-mzee wa Tai Chi
4. Scott Adkins- mzee wa Teakwondo
5. Michael Jai White-mzee wa Kyokushin
6. Michael Bisping-mzee wa Boxing+kickboxing
Asian expendables, si ya kukosa [emoji91][emoji91]
Sent using Jamii Forums mobile app