Naenda kulala makaburini leo uchii kama hyo visa utapata fyuuuu mie ndo warumi *****
Hivi huyo ndo mtoto wa kizungu?
SAsa hayo masharti ndo siyawezi, yani nisiseme kuwa naenda ulaya au? Wambea watajuaje? Hlo sharti gumu kwa kweli
Wadada fanya kupita ladytiger_fashions instagram na Facebook ujionee vya ukweli kuanzia beach, club, ofisini, casual hadi vya ukweni
Kaka wapendezeshe uwapendao... Umaridadi huficha umasikini njoo huku hutojutia... Ni dhambi mbaya kukosa kuvutia na suluhisho lipo
Binamu ivi una watoto wangapi? Halafu mmefunga ndoa na msukuma kwel? Ndo mambo yetu yale ya unafuu
Muke ya mzungu aka lucy komba (pichan ) akiwa kaweka pozi matata, pamoja na mtoto wake wa kiume. Ila lucy sio kwa pozi hilo, na ilo jicho vipi tena? Au ndo matunda ya ndoa? By the way tumemis wedding yako matata pamoja na galaxy yako
Amejambisha watu hapo mjini kaenda kuolewa na maskini tena anaishi kijijiiini huko Denmark!!!
Mmh!! Ebu fungeni ndoa ata ya mkeka loh, msukuma akifa utakuwa hupati mali ujue??
Bora kijijin ya Denmark binamu kuliko ya bongo mjini sasa hivi mna mafuriko tu
Bado hajazaa na yule mzungu
Binamu lucy anapoishi na maisha anayoishi huko Denmark bora ufunikwe na maji buguruni lakini unaishi na watu na kampani yakutosha kuliko kuishi Kama swala maporini...
Halafu kwa zile mbwembwe na alichoenda kufanya huko DK ni ujinga mtupu anahangaika kujichezesha ngoma tu mzungu kamgeuka huko ...
Yaani mateso yale kisa tu uonekane umeolewa na Mzungu??
Too low aisee!!!!
Ndio maana kazidi kuchakaa, uko mzito kama dafu la kimbiji