Picha: Lucy Komba ndani ya selfie

Maskini duh, ndo maana uso umemzidi kukomaa
 
Ndio kapenda mume jamanii tutafanyaje
 
Yaani asingepaka hiyo mi-rangi usoni angekuwa mtamu sana
 
Jamani Lucy aliacha kazi yake hapo mahakamani Kisa mzungu, ona sasa
 
Ila kanyoa kapendeza maana nilikua namuona kama kizee flani hivi.

Duh, kama hapo ndio kapendeza sina hata haja ya kuona alivyokuwa kabla.

Maana sura imezeeka mpaka kamuambikiza kuzeeka mtoto.
 
Duh, kama hapo ndio kapendeza sina hata haja ya kuona alivyokuwa kabla.

Maana sura imezeeka mpaka kamuambikiza kuzeeka mtoto.

Hahahaaa, watu mna maneno?
 
Wabongo kila kitu lazima mponde,au wengine mna wivu,mtu kapendeza inatosha. Kama huna la kusema si uache tu kuliko kuandika vitu vya ajabu kwa kulazimisha,eeee watz bna!!
 
Wabongo kila kitu lazima mponde,au wengine mna wivu,mtu kapendeza inatosha. Kama huna la kusema si uache tu kuliko kuandika vitu vya ajabu kwa kulazimisha,eeee watz bna!!

Hata wewe unaponda tunavyoponda.
 
Hata wewe unaponda tunavyoponda.

Ila wewe utakuwa nusu,tambua MADA,MIM CJAWADILI NYIE KAMA MADA,NAONGELEA KITU KILICHOPO HAPA,KWANI WEWE AU MIM HATA TUSIPOSEMA CHOCHOTE HIO PICHA ITABAKI KAMA ILIVYO,MANENO YETU HAYATAIBADILI HIO PIC,SEMA WABONGO TUNATABIA YA KUWA NA WIVU AFU UKUTE wewe ni mwanaume unaponda hapa si usho**huo,wazungu hapa nilitgemea kukutana ns comment kama m,good,cute,awesome,nice pic,but sisi matusi kwenda mbeke huo ni ushamba!!
 
Kwa nini unataka kutufungia uhuru wa kujieleza wakati motto ya JF ni "Where we dare to talk openly" ?

Kama unaona kunyamaza ni muhimu, mbona wewe hujanyamaza?

Nani kakwambia anataka kubadili picha?

Kwa nini unataka mimi niwe sawa na wazungu?
 
Kwa nini unataka kutufungia uhuru wa kujieleza wakati motto ya JF ni "Where we dare to talk openly" ?

Go on,i assume you'ren't my level,continue arguing with you,is a childish game,wasbr wenzio!
 
Go on,i assume you'ren't my level,continue arguing with you,is a childish game,wasbr wenzio!

Indeed I am not your level.

You are steeped too low in idiotic censorship to be on my level.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…