warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
- Thread starter
- #61
Binamu kila MTU kule Denmark anamshangaa!!! Wanajiuliza send off na party za nguvu pamoja na kuhudhuriwa na vigogo kaenda kuishi maisha yale DK? Wengi wanamshangaa maana alikuwa na nafasi nzuri Sana hapa TZ kuliko kwenda kujidhiki kule mpaka khanga na vitenge vya kuchezea ngoma wanaazima!!!
Maskini duh, ndo maana uso umemzidi kukomaa