Picha: Lulu amepata wapi hizi hela?

Picha: Lulu amepata wapi hizi hela?

Kwani si mwanamke inawezekana mshefa kakolea na mchachuo.
 
Http??www. Ulimbukeniwakitoto.com Pesa si mali ya mtu Binafsi ni nyara ya serikali acheni kuzizalilisha
 
Alichosema Lulu

hizo picha NIlipiga wakati tunashoot na TMT edition Mwanza na nilishoot na Joti

kama naenda kununua madini na hiyo pic ilianza kuwekwa kwenye page ya TMT kama promo

ya kipindi..... sasa wengine mkiona picha tu hamtaki maelezo yaani kichwa cha habari kinawatosha

maelezo mnajua pa kuyatoa..jamani kuuliza si ujinga na wengine mna namba zetu na acces za kutufikia

mnazo..kwanini tunakwazana kwa mambo madogo jmn???Hapa nilipo nina shida zangu kibao.. Na

huo sina kwanza...Muwage nauliza kabla ya kutoa exclusive zenu...........

cc fungi
 
fungi

aah mrs komba. Toto la vibabu! Xafi xana
 
Last edited by a moderator:
mambo kama haya yanafanywa na masikini tu kina mengi. Bakhera na manji hawana hizi mambo
 
Back
Top Bottom