tama
JF-Expert Member
- Dec 15, 2010
- 602
- 71
Wakiumwa wasiombe msaada wa michango.
Na kweli wakumbe kuweka akiba zao mapemaaaa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakiumwa wasiombe msaada wa michango.
Binamu kala ban bana sijui itakuwajee???
Teh teh teh lmaof!!Eeee niwaache tenaa
hizo picha NIlipiga wakati tunashoot na TMT edition Mwanza na nilishoot na Joti
kama naenda kununua madini na hiyo pic ilianza kuwekwa kwenye page ya TMT kama promo
ya kipindi..... sasa wengine mkiona picha tu hamtaki maelezo yaani kichwa cha habari kinawatosha
maelezo mnajua pa kuyatoa..jamani kuuliza si ujinga na wengine mna namba zetu na acces za kutufikia
mnazo..kwanini tunakwazana kwa mambo madogo jmn???Hapa nilipo nina shida zangu kibao.. Na
huo sina kwanza...Muwage nauliza kabla ya kutoa exclusive zenu...........
Teh teh teh lmaof!!
Afadhali binamu kala ban
Hela ni zile zilizofungwa kwa raba sio hizo ukifumua ki milioni mbili zinajaa rambo.
Basi kasherehekee Kempisk