hapo kwenye bold hapo.... kwa kweli kwa maneno hayo kweli alideserveOoh nilienda kuchungulia Youtube,
Nilitaka na mimi kudondosha chozi,
"it has been a long journey since I was 5 years old, i've been dreaming for this, thank u mama, we made it."
How touching jamani.
She deserve it.
hapo kwenye bold hapo.... kwa kweli kwa maneno hayo kweli alideserve
Si mnapenda kuiga umagharibi. Mwacheni tu alie.huyo nae mnafiki tu mbona wenzie hawalii?
hahahaaa hapo umemaliza kabisaSi mnapenda kuiga umagharibi. Mwacheni tu alie.
Mkuu mimi nilijikuta sipendi tena move za kibongo sababu ya wahusika Ku deal na tabia za kimagharibi.hahahaaa hapo umemaliza kabisa
ni kweli mkuu hasa wanajitahidi kuwaiga wanigeria yaani ni vituko tupuMkuu mimi nilijikuta sipendi tena move za kibongo sababu ya wahusika Ku deal na tabia za kimagharibi.
.....eti lilikuwa "kosa la marehemu"Hongera zake.
Msaada wakuu
Hivi kesi yake ya mauaji ndo ilishaisha? Nimekuwa mbali na media kidogo sijui nini kiliendelea sorry for that.
We're qwerty week ppWanalia kina Taylor swift na nick minaj sembuse yeye, its something emotional mtu unakua na furaha iliyopitiliza hadi unajikuta unalia.
Kama diamond naye angekua analia basi ingekua balaa
Bae.....
Hapo umenikuna,naomba huu ubuyu private pls!
Asante.