Pregnancy.Na Wema Sepetu alikua kwenye Category gani?
muache achukue tu, alisababisha kifo cha kanumba akaolewa na umri wakeMsanii wetu Lulu atoa shukrani kwa Machozi baadaa ya Kunyakua Tuzo.
Huwenda amemkumbuka THE GRITIhuyo nae mnafiki tu mbona wenzie hawalii?
Huyu sidhani Kama aliwahi hata kuwa nominees kwenye category yoyote. Amekalia kiss tu za Mr problem na ile movie yake na van vicker sijui iliishia wapi?Na Wema Sepetu alikua kwenye Category gani?
hyo movie kwa kweli haina uzuri wowote, sijui wameangalia kigezo gani jamani, maana uigizaji wa lulu sio kihivyo, productio mbovu yani walimbeba tu labda kwa ajili ya umaarufu wakeMi niliona Amelia kisanii tu...just to make headlines na achukue Spotlight..
Sijawahi kuona movie ya aina yake yeyote sijui Kama mzuri hivyo.
Hiv ni kweli kiss ni za mr. problem solver? loh anavyokazana kuzipa promo, mbona kazi anayoHuyu sidhani Kama aliwahi hata kuwa nominees kwenye category yoyote. Amekalia kiss tu za Mr problem na ile movie yake na van vicker sijui iliishia wapi?
Pale analipwa asilimia kumi ya kuzitangaza tu hana chake pale.Vipi movie yake na Van vicker iliishia wapi? Au ilikuwa kumrusha roho Dai.Hiv ni kweli kiss ni za mr. problem solver? loh anavyokazana kuzipa promo, mbona kazi anayo
hii comment imenchekesha sana maana kama nazisoma hisia zakohuyo nae mnafiki tu mbona wenzie hawalii?
Zile awards zilikua zinapigiwa kura na viewers....so kapata kura nyingihyo movie kwa kweli haina uzuri wowote, sijui wameangalia kigezo gani jamani, maana uigizaji wa lulu sio kihivyo, productio mbovu yani walimbeba tu labda kwa ajili ya umaarufu wake
wema sepetu si unajuaga movie zake zinakua hewa, toka atudanganye ile movie ya super star mpaka akamleta omotola mpaka leo haijatoka, simuamin yule mtuPale analipwa asilimia kumi ya kuzitangaza tu hana chake pale.Vipi movie yake na Van vicker iliishia wapi? Au ilikuwa kumrusha roho Dai.