Picha: Lulu Michael ndani ya Nollywood (Nigeria)

downloadfile.jpeg

swissme
 
Kwakuwa ni msanii hata machozi yake nilichukulia ni ya kisanii
 
Mi niliona Amelia kisanii tu...just to make headlines na achukue Spotlight..

Sijawahi kuona movie ya aina yake yeyote sijui Kama mzuri hivyo.
 
Kweli lulu msanii yale machozi utadhani kweli.. Anakipaji cha kuigiza that was a nice performance lulu wangukuongeza tunzo palepale
 
mwacheni auze papuchi bado mdogo, akikuwa ataacha automatically
 
Na Wema Sepetu alikua kwenye Category gani?
Huyu sidhani Kama aliwahi hata kuwa nominees kwenye category yoyote. Amekalia kiss tu za Mr problem na ile movie yake na van vicker sijui iliishia wapi?
 
Mi niliona Amelia kisanii tu...just to make headlines na achukue Spotlight..

Sijawahi kuona movie ya aina yake yeyote sijui Kama mzuri hivyo.
hyo movie kwa kweli haina uzuri wowote, sijui wameangalia kigezo gani jamani, maana uigizaji wa lulu sio kihivyo, productio mbovu yani walimbeba tu labda kwa ajili ya umaarufu wake
 
Huyu sidhani Kama aliwahi hata kuwa nominees kwenye category yoyote. Amekalia kiss tu za Mr problem na ile movie yake na van vicker sijui iliishia wapi?
Hiv ni kweli kiss ni za mr. problem solver? loh anavyokazana kuzipa promo, mbona kazi anayo
 
Pale analipwa asilimia kumi ya kuzitangaza tu hana chake pale.Vipi movie yake na Van vicker iliishia wapi? Au ilikuwa kumrusha roho Dai.
 
Binafsi nmekafurahia sana kale katoto, acheni alie tu hata ingekuwa mm ningelia pia
 
hyo movie kwa kweli haina uzuri wowote, sijui wameangalia kigezo gani jamani, maana uigizaji wa lulu sio kihivyo, productio mbovu yani walimbeba tu labda kwa ajili ya umaarufu wake
Zile awards zilikua zinapigiwa kura na viewers....so kapata kura nyingi
 
Pale analipwa asilimia kumi ya kuzitangaza tu hana chake pale.Vipi movie yake na Van vicker iliishia wapi? Au ilikuwa kumrusha roho Dai.
wema sepetu si unajuaga movie zake zinakua hewa, toka atudanganye ile movie ya super star mpaka akamleta omotola mpaka leo haijatoka, simuamin yule mtu
 
Back
Top Bottom