Konda wa bodaboda
JF-Expert Member
- Jul 18, 2014
- 7,981
- 4,170
Mtoto anakunywa maji huyu, dah!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijui ni lini ataacha drama anapenda attention za kipuuzi mno hauko real hata kidogo ndiyo maana hawaachi kumuita madam fake.Nilikuwa sijui Kama super star nayo haijatoka mpaka leo. Atabaki na show off za kijinga wenzie wanasonga ona shikana kashampiku.wema sepetu si unajuaga movie zake zinakua hewa, toka atudanganye ile movie ya super star mpaka akamleta omotola mpaka leo haijatoka, simuamin yule mtu
mmh kazi anayo, roho itakua inamuuma lulu kupata tuzo sema kajikaza tu kumpa hongera, naona uwoya ndo kagoma kabisa kumpa pongezi, kasema wamuache simu kanunua yeye anapost anachotaka, kampost richie tu, yani bongo movie bhana, sasa uwoya umama wote huo anaenda kuweka bifu na katoto kama lulu mmhSijui ni lini ataacha drama anapenda attention za kipuuzi mno hauko real hata kidogo ndiyo maana hawaachi kumuita madam fake.Nilikuwa sijui Kama super star nayo haijatoka mpaka leo. Atabaki na show off za kijinga wenzie wanasonga ona shikana kashampiku.
Nimeona.Bifu la uwoya na lulu nasikia lilikuwepo kwa yule jamaa wa madini aliyeanguka akafa. Na sinasikia uwoya ni mama kijacho?mmh kazi anayo, roho itakua inamuuma lulu kupata tuzo sema kajikaza tu kumpa hongera, naona uwoya ndo kagoma kabisa kumpa pongezi, kasema wamuache simu kanunua yeye anapost anachotaka, kampost richie tu, yani bongo movie bhana, sasa uwoya umama wote huo anaenda kuweka bifu na katoto kama lulu mmh
wee?? mmh!! hatare, hizi dudu mwaka huu zitawaua, nasikia kafungua duka na yeye siku hizi...uwoya siku hiz hana nyota kafulia yupo yupo tuNimeona.Bifu la uwoya na lulu nasikia lilikuwepo kwa yule jamaa wa madini aliyeanguka akafa. Na sinasikia uwoya ni mama kijacho?
Kafungua duka la nguo liko mikocheni kwa nyerere Kama sikosei. Nyota hana tena naona na movie kaacha kuchezawee?? mmh!! hatare, hizi dudu mwaka huu zitawaua, nasikia kafungua duka na yeye siku hizi...uwoya siku hiz hana nyota kafulia yupo yupo tu
Kumbe! Haiyaaaaaaa Binamushikana na jina alilotumia kwenye hyo movie ya mapenzi ya mungu
So amelia ndani ya key?hongera zake.hahaha si ndo hapo?? ila lulu kalia vizuri kweli yan kalia huku anaendelea kumwaga kidhungu, teh.. hakusahau vocals..
Nachukia huo uzungu wanaiga..Mimi nisingemtambua kabla sijasoma maelezo
sidhani kama ligi ya kule anaiweza. Maana its more than the bodyTekno au akina ramsey na majid michel
Hiyo picha kakaa kama mdoli, minywele ya maiti, rangi ya mkorogo!
Hivi Waafrika ni lini tutajipa thamani kwa uzuri wetu tuliopewa na Mwenyezi Mungu?
Hiyo picha kakaa kama mdoli, minywele ya maiti, rangi ya mkorogo!
Hivi Waafrika ni lini tutajipa thamani kwa uzuri wetu tuliopewa na Mwenyezi Mungu?