Picha: Lulu Michael ndani ya Nollywood (Nigeria)

1457336006996.jpg

Mtoto anakunywa maji huyu, dah!!
 
wema sepetu si unajuaga movie zake zinakua hewa, toka atudanganye ile movie ya super star mpaka akamleta omotola mpaka leo haijatoka, simuamin yule mtu
Sijui ni lini ataacha drama anapenda attention za kipuuzi mno hauko real hata kidogo ndiyo maana hawaachi kumuita madam fake.Nilikuwa sijui Kama super star nayo haijatoka mpaka leo. Atabaki na show off za kijinga wenzie wanasonga ona shikana kashampiku.
 
mmh kazi anayo, roho itakua inamuuma lulu kupata tuzo sema kajikaza tu kumpa hongera, naona uwoya ndo kagoma kabisa kumpa pongezi, kasema wamuache simu kanunua yeye anapost anachotaka, kampost richie tu, yani bongo movie bhana, sasa uwoya umama wote huo anaenda kuweka bifu na katoto kama lulu mmh
 
Nimeona.Bifu la uwoya na lulu nasikia lilikuwepo kwa yule jamaa wa madini aliyeanguka akafa. Na sinasikia uwoya ni mama kijacho?
 
wee?? mmh!! hatare, hizi dudu mwaka huu zitawaua, nasikia kafungua duka na yeye siku hizi...uwoya siku hiz hana nyota kafulia yupo yupo tu
 
Huyu mpumbavu najua wamemuongezea gia ya kutega mitego mingi ya wanaume nje
 
wee?? mmh!! hatare, hizi dudu mwaka huu zitawaua, nasikia kafungua duka na yeye siku hizi...uwoya siku hiz hana nyota kafulia yupo yupo tu
Kafungua duka la nguo liko mikocheni kwa nyerere Kama sikosei. Nyota hana tena naona na movie kaacha kucheza
 
Nasikia wanaijeria walikuwa wanagombea kupiga picha na Le Mutuz. Bilionia wa East Africa.
 
WaNaija wanajua sana kuwadanganya waBongo. Kifupi wanawatumia tu.
 
nguruwe pita sina mkuki mie...
Nina umbea lundo kuhusu matukio ya siku mbili hizi kuanzia Nigeria kilichohapeni afta ze tuzo na watu kusutwa huko bongo movie ila nimestaafu umbea
Majukumu ya ukubwa pia yamenikaba ngoja tuwaachie akina warumi uKafukue huko
warumi mapokezi ya lulu yamezua mambo makubwa hadi watu wazima na familia zao na waume wao kuchambwa ...nenda ukafukue huko
 
Hiyo picha kakaa kama mdoli, minywele ya maiti, rangi ya mkorogo!

Hivi Waafrika ni lini tutajipa thamani kwa uzuri wetu tuliopewa na Mwenyezi Mungu?
 
Hayo manywele ya mdoli ndio yanauza akivaa baibui kama wewe watu hawanunui
 
Back
Top Bottom