Picha maalum: Muonekano wa picha za watoto wakiwa tumboni kupitia vipimo vya MRI na Ultrasound 2D/3D/4D/HD

Picha maalum: Muonekano wa picha za watoto wakiwa tumboni kupitia vipimo vya MRI na Ultrasound 2D/3D/4D/HD

Si kweli! Hizo picha ni za uongo! Tangu lini mtoto akawa na meno huko tumboni?
Yanakuepo, yanatemgenezwa pamoja na mataya sema anapozaliwa yanakuwa hayajachomoza...(Developmental Anatomy hiyo, watu wanakaa semester nzima kusoma).
 
Tukiwa tumboni kumbe tunakuwa mazombie ndio maana mama zetu kipindi cha ujauzito wanakuwa na visilani ,

Poleni mama zetu mnabeba vingi
 
Back
Top Bottom