PICHA: Madenge kijana aliejitoa mhanga kubadili upepo wa Oktoba 29

PICHA: Madenge kijana aliejitoa mhanga kubadili upepo wa Oktoba 29

mirindimo

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2009
Posts
1,155
Reaction score
2,704
IMG_3603.jpeg
IMG_3617.jpeg
 
Mtasema propaganda zoote dadek
Hakuna mtu yeyote alilipwa halafu eti akatoe ushahidi kwa tume kwamba alilipwa buku 50 kuandamana...yaani ajue kabisa uharibifu kibao ulitokea wa mali za umma na binafsi kisha ajipeleke kichwa kichwa....huo ni uongo wa ma uvccm!
Yaani mzee Chande nimemuona ni mpuuzi wa kiwango cha juu. Halafu anasema tume yao imetumia standard za kimataifa. Ogopa mzee anasema tume inasema ukweli lakini hajathubutu kuongelea credibility ya uchaguzi. Na mwisho mwenye ripoti akajigamba ripoti ni Mali yake!
 
Huyu jamaa aliamua kuua legacy yake kwa hii tweet moja tu. Ila tokea nimuone anampigia kampeni Mbowe nikajua huyu ni tapeli tu sielewi kwanini chadema walimuamini kiasi kile na kumuweka karibu sana wakati alikua obvious mole.

Na hili liwe fundisho kwa waTanzania kuacha kudandia kwa kila mtu anayejifanya mwanaharakati sijui Sativa, Madeleka, kigogo, sarungi, Fatma karume etc naona ni opportunistic tu.
 
Mtasema propaganda zoote dadek
Hakuna mtu yeyote alilipwa halafu eti akatoe ushahidi kwa tume kwamba alilipwa buku 50 kuandamana...yaani ajue kabisa uharibifu kibao ulitokea wa mali za umma na binafsi kisha ajipeleke kichwa kichwa....huo ni uongo wa ma uvccm!
tume walicholewa barabara ya kupita nao vile vichwa mviringo wakapita mule mule

kama wanajiamini basi waombe tume huru
 
Back
Top Bottom