PICHA: Madenge kijana aliejitoa mhanga kubadili upepo wa Oktoba 29

Yaani mzee Chande nimemuona ni mpuuzi wa kiwango cha juu. Halafu anasema tume yao imetumia standard za kimataifa. Ogopa mzee anasema tume inasema ukweli lakini hajathubutu kuongelea credibility ya uchaguzi. Na mwisho mwenye ripoti akajigamba ripoti ni Mali yake!
 
Huyu jamaa aliamua kuua legacy yake kwa hii tweet moja tu. Ila tokea nimuone anampigia kampeni Mbowe nikajua huyu ni tapeli tu sielewi kwanini chadema walimuamini kiasi kile na kumuweka karibu sana wakati alikua obvious mole.

Na hili liwe fundisho kwa waTanzania kuacha kudandia kwa kila mtu anayejifanya mwanaharakati sijui Sativa, Madeleka, kigogo, sarungi, Fatma karume etc naona ni opportunistic tu.
 
tume walicholewa barabara ya kupita nao vile vichwa mviringo wakapita mule mule

kama wanajiamini basi waombe tume huru
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…