Picha: Makamabda wa Chadema wakifakamia matikiti maji na kujipoza .

Picha: Makamabda wa Chadema wakifakamia matikiti maji na kujipoza .

Aisee hii Tanzania nna uhakika hatuwezi fika mahali,kizazi cha sasa siasa zimekuwa chuki sana....Mungu anatakiwa kutafta namnna ya kusafisha huu uzao.
 
🤣🤣🤣
Mtoa mada umewasilisha jambo kubwa sana hapo kwa njia rahisi ndo maana wenyewe wana hasira balaa, wanakushambulia tu.

Erythrocyte mbinafsi sana, haleti habari Kama hizi
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mtoa mada umewasilisha jambo kubwa sana hapo kwa njia rahisi ndo maana wenyewe wana hasira balaa, wanakushambulia tu.

Erythrocyte mbinafsi sana, haleti habari Kama hizi
mleta mada angekuwa karibu wangemla nyama live live asa mtu kaongea ukweli kuwa ma chadomo ni walafi wana kula kama viwa vijeshi
 
Sijaona kibaya hapo watu wameamua kula tikiti kwa maamuzi yao binafsi!!

Labda shida ni Kwa aliepost picha akitegemea negative comments kwa wahusika, kutokana na kutofautina mitizamo na itikadi za kisiasa
 
Back
Top Bottom