Picha: Mama Diamond akila bata

Picha: Mama Diamond akila bata

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Nakuona mama D Katika ubora wako, hutaki shida mwenzangu,swimming ya mwanao kwa nini usijiachie?, ebu wakutue mama wa watu,endelea kula bata mwaego, ila zari umemuomba ruhusa? Anajua? Maana nyumba ya watu hiyo mama
46debd2bc59218a226ad9a04fb7f0616.jpg
 
Sasa hizo bata si mpaka zije kwenye kumi na nane zako Sheikh...unaweza ukazisubiria ukajikuta umegonga ninety sio bata wala njiwa aliyejitokeza.
Ndio maana natafuta hela mapema yasije yakanikuta ya mama diamond
 
Ndio maana natafuta hela mapema yasije yakanikuta ya mama diamond
Kila la kheri mkuu....ila bata zikija hata huko uzeeni na kukukuta 'meno' bado ipo we vunja mifupa usijali Waja watasema nini.
 
Africa mnashangaa, wakati nchi za magharibi ni kawaida tu tena wanaoga bwana moja mama, baba na watoto huku Africa nongwa
izo ni taratibu na staarabu za kizungu...ila hapa ushasema africa sisi hatuna hizi mambo lazma tushangae na tuone kituko ichi. wazungu waachie wazungu nyie ndo mnaovaa milegezo kwa kuiga iga
 
Back
Top Bottom