Badamu batamwagika mwaka huu, huku tunaambiwa mama wema na mwanae wanarudi CCM, mama ake na kivuruge nae yupo Nairobi kumuona lissu, mbona umbea mtamu
Umefuatilia uzi wa mange?Mbona hajavaa gwanda?
Hata hivyo ni mwanamkeMaswali ya kike
Swissme
Umefuatilia uzi wa mange?
Neno la hekima sanaJambo jema kumjulia hali mgonjwa. Hayo mengine watajua wenyewe.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Maswali ya kike
Swissme
Eti unasemaje hembu rudia unaongelea siasa ya awamu ya 4 au hii ya awamu ya 5????Akitaka kwenda ccm ndo asiende kumtembelea lisu??
Siasa sio chuki ata humphrey pole pole(chakubanga) akiumwa mbowe kwenda kumuona ni kawaida. Na sio kwamba magufuli na mbowe ni maadui nje ya siasa wanapigiana simu vizuri tuu wote ni wenye viti.
Mimi ni chadema na marafiki wengi sana wa ccm
SIASA SIO CHUKI .
Eti unasemaje hembu rudia unaongelea siasa ya awamu ya 4 au hii ya awamu ya 5????
Mama Samia jana alikuwa amevaa "kufuli" la kijani? Au umeambiwa hayo ni matembezi ya chama?Mbona hajavaa gwanda?
Uyo jamaa mbishi bado kavaa kibendera shingoni watamnyonga nachoBadamu batamwagika mwaka huu, huku tunaambiwa mama wema na mwanae wanarudi CCM, mama ake na kivuruge nae yupo Nairobi kumuona lissu, mbona umbea mtamu