Picha: Mama Wema akiwa Nairobi kumuona Tundu lissu

Picha: Mama Wema akiwa Nairobi kumuona Tundu lissu

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Badamu batamwagika mwaka huu, huku tunaambiwa mama wema na mwanae wanarudi CCM, mama ake na kivuruge nae yupo Nairobi kumuona lissu, mbona umbea mtamu
b418017d75899796e18b2f480c86f4bf.jpg
 
Kila Mja aombe kwa Imani yake tuvuke salama awamu hii mana safari bado ndefu..,
 
Akitaka kwenda ccm ndo asiende kumtembelea lisu??

Siasa sio chuki ata humphrey pole pole(chakubanga) akiumwa mbowe kwenda kumuona ni kawaida. Na sio kwamba magufuli na mbowe ni maadui nje ya siasa wanapigiana simu vizuri tuu wote ni wenye viti.

Mimi ni chadema na marafiki wengi sana wa ccm

SIASA SIO CHUKI .
 
Eti unasemaje hembu rudia unaongelea siasa ya awamu ya 4 au hii ya awamu ya 5????
 
Back
Top Bottom