PICHA: Mapokezi haya ya Viongozi wa CCM Taifa Mkoa wa Geita yana maana gani?

PICHA: Mapokezi haya ya Viongozi wa CCM Taifa Mkoa wa Geita yana maana gani?

Baada ya Sekretarieti ya CCM-Tanzania inayoongozwa na Katibu Mkuu wa CCM Taifa Crde Daniel Chongolo kuwasili mkoa wa Geita limeibuka Shangwa na mabango kedekede yenye kumpongeza na kumtia moyo Rais Samia Suluhu Hassan,

Hii ni tafsiri chanya ya anayoyafanya Rais wetu katika kuliletea Taifa letu maendeleo endelevu,Furaha ni kubwa zaidi kuona vijijini wanachi walivyohamasika katika kuendelea kuiamini na hatimaye kuichagua CCM-Tanzania,Hakuna kama Samia

Hiki Chama kina watu wenye hekma sana tu
 
Kama mambo ndio haya basi Tanzania kama kuna wakati tumepata Rais bora na wa kweli nadhani ni sasa,Tufanye kazi kwa bidii sana,

Hakika huyu Mama ni Mpango wa Mungu,

#WATANZANIA TUFANYE KAZI KWA BIDII
 
" Kwa mwendo huu Tanzania tutafika tunakotaka kwenda tena kwa kuwahi sana, Hongera Mama Samia, Watanzania tuko nyuma yako We chapa kazi achana na Wasio na jema "
 
Hapa ndo naonaga wtz hatuna akilini.bango linamtaja samia.kwani samia yuko geita?makada sijui tukoje.kyaaaaa😪😪😪😪
Thread za kujaza front page,wanapenda kujifaraguza na kudemka kwa vioja visivyolijenga Taifa au lichama lao hilo la mchwa,viroboto,kupe,kunguni na vitu kama hivyo:Ukiwaliza hao viumbe ni kina nani wanaanza kububujikwa na machozi ya fisi na uharo kupitia vinywa na kalamu zao.
They are done.
 
Tanzania chini ya Rais Samia Suluhu Hasani iko salama zaidi. Tunamshukuru sana Mungu pamoja na mambo yote tunayomfanyia ila bado anatupenda sana na ndio maana ametuletea mkombozi wa kweli. Mitano tena Samia.
 
kaka taifa wananchi kama hawa lazima wawepo, alipokuwepo Magu walidiriki kumwita Yesu, ghafla bin vuu katutoka duniani - kaja maza Mwakatozo sasa wanasema eti Mungu kamleta, kuna watu humu kweli ?
 
Baada ya Sekretarieti ya CCM-Tanzania inayoongozwa na Katibu Mkuu wa CCM Taifa Crde Daniel Chongolo kuwasili mkoa wa Geita limeibuka Shangwa na mabango kedekede yenye kumpongeza na kumtia moyo Rais Samia Suluhu Hassan,

Hii ni tafsiri chanya ya anayoyafanya Rais wetu katika kuliletea Taifa letu maendeleo endelevu,Furaha ni kubwa zaidi kuona vijijini wanachi walivyohamasika katika kuendelea kuiamini na hatimaye kuichagua CCM-Tanzania,Hakuna kama Samia

Pinga Pinga hapo pia watapinga
 
Back
Top Bottom