Picha : Mashabiki Mbeya City wamfariji mchezaji wa Simba, Alex Christopher Massawe

Picha : Mashabiki Mbeya City wamfariji mchezaji wa Simba, Alex Christopher Massawe

Sio simba tu amelitumikia taifa pia tff wapi
ila tusipende kuhukumu Kabla hatujajua ukweli tunauhakika gani Simba au timu zengine alizochezea hazijamsaidia? Sio kila mtoa msaada anajitangazia au kupiga Picha kila mtu aone msaada aliotoa, sisemi Mbeya wamejitangazia ila walichokifanya ni kitu kizuri sana na ni kweli chakuigwa ila hatuwezi jua timu ngapi zimeenda kumuona, tukitoka kwenye mada kama Mshabiki wa Simba si kupenda kuona Nchi yetu inawachia Mchezaji kumfanyia kitendo cha Ubaguzi mchezaji wa Yanga sizani kama mmoja wetu angekuwa anacheza nje akafanyiwa alichofanyiwa mchezaji Yule wa Kigeni wa Yanga kama tungependa tusiwe tunajadili vitu kishabiki pia.
 
Pole sana Chris ..ila simba nina mashaka kama kuna kiongozi yeyote amewahi mtembelea Chris..kama kuna mwenye taarifa atujuze.Kwa marehemu Mafisango mambo hayakuwa poa wakati alifariki akiwa mtumishi wao,vipi kwa huyu ambaye hawatumikii..nina mashaka sana kama watamthamini mchango wake kwa Mnyama.
 
Christopher atakua anajiskia vibaya mno.....maana simba imemtupa kabisa na aliisaidia mengi...lakini kitakachomuumiza zaidi ni kutekelekezwa na baba yake mzazi....Tajiri na Mkongwe katika underworld east africa ...mkibosho Alex Massawe...a.ka carlos alieko jijini jo'burg akiponda raha...

Nimesikitishwa na mandhari duni anayoishi huyu kijana, ukuta hauna hata plasta huku Simba wakigawa mamilioni ya Shilingi kwa watingisha matako wa Old Kampala.

Mbaya zaidi ni baba yake kuzama Joburg akila uroda na makahaba ya Bondeni katika mitaa ya makasino kama vile Summit na mengineyo huku dogo akiteseka.

Pole kijana Christopher Alex; Mungu atakuponya. MCC fans mbarikiwe sana. Kwa uungwana huu naamini hata Yanga wakija Mbeya hamtawapiga tena kama mwaka Jana.

Mungu ibariki Tanzania na Mungu mbariki Christopher Alex apone haraka, amen.
 
Mkuu nimeishi katika underworld kwa muda huko zamani, kati ya kitu nilichokinote ni kuwa mzee alex anaishi maisha kama kijana wa miaka 25 hajabadilika hata kidogo na hii inamfanya adharaulike na watu wengi sana wa aina yake kama kina patrick ngiloi ulomi na kina white na kina hans macha
 
Inauma namkumbuka jamaa na zile rasta mungu ampe nguvu
 
christopher atakua anajiskia vibaya mno.....maana simba imemtupa kabisa na aliisaidia mengi...lakini kitakachomuumiza zaidi ni kutekelekezwa na baba yake mzazi....tajiri na mkongwe katika underworld east africa ...mkibosho alex massawe...a.ka carlos alieko jijini jo'burg akiponda raha...
hivi kumbe alex massawe ni mzazi wake? Hivi mnakumbuka kuwa kuna wakati christopher alex pia alishawahi kukamatwa na polisi kwa ishu za wizi baada ya kuacha soka? So like father like son?? Mungu amsaidie apone salama
 
Wachezaji wa bongo wana maisha ya kiujima sana ..sasa huyu hata kitanda hana analala chini
 
football haina rafiki wala adui wa kudumu , hongereni sana wana kuwakilisha
 
Back
Top Bottom